Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,768
- 3,620
- Thread starter
- #21
i wish ningekuwa nakufaham in persn natamani kujua mapishi kama wewe coz napenda sana kupika vtu vzuri kama unavyo tujuza
Njoo PM kama unataka kunifahamu.
i wish ningekuwa nakufaham in persn natamani kujua mapishi kama wewe coz napenda sana kupika vtu vzuri kama unavyo tujuza
Kumbe trainer unajua kupika ehh?
step zako zote nazifuata ila sikorogi ama kugeuza mpaka maji yakauke. Mtoa mada ningemshauri atafute sufuria yenye mfuniko wake mzuri inayotunza mvuke pia.
Angalizo, huwezi kuweka nyanya kwenye wali. Kuongeza ladha unaweza kuweka viungo/spices, carrot ama sausage zilizokatwa ndogo ndogo.
Trick nyingine inayosaidia wali usidode ni kukaanga mchele. Osha mchele (wowote ule kuosha inaondoa kiasi cha wanga na vumbi, sijui ni obsession tu ya usafi pia?). Hiyo siagi ama mafuta weka kwa sufuria, ikishapata moto kabisa weka mchele na kaanga kidogo kama dk 3. Weka maji na umalizie kwa steps alizoelezea Nyani Ngabu
Mimi tena?
I am so versatile you wouldn't believe it.
Nadhani kinachonifanya niwe hivyo ni kupenda challenges. I like to challenge myself and actually do enjoy it.
Leo yenyewe tu hapa tumepika wali nyama, maharage ya nazi, na kabichi!
Halafu sasa, nilivyo mthubutu wakati mwingine [kama leo] huwa naweka bbq sauce kwenye nyama ili kuipa hint ya utamu [sweetness]. Huwa naweka kidogo tu lakini.
Hii ndo niliyoitumia leo
Kupika wali ni rahisi sana.
Na ni vyema, kama unajifunza kuupika basi usitumie rice cooker.
Kwa jinsi ya maelezo yako, inavyoelekea unaweka maji mengi mno.
Ukitaka upike utokee usio rojorojo [mkavu kwa kiasi flani na usioshikamana] basi ni vyema kwanza ukatumia mchele ulio bora.
Mimi napenda kutumia Mahatma Jasmine rice kama huu kwenye picha:
Namna ya kupika kwa kutumia sufuria dogo na jiko la umeme [samahani, sijawahi kutumia jiko la mkaa wala mafuta kwa hiyo nitakupa maelezo ya kupikia kupitia jiko la umeme.], ni kama ifuatavyo:
- Pima mchele kwenye kikombe kimoja cha chai.
- Kwa kutumia saizi ya hichohicho kikombe, weka vikombe viwili vya maji kwenye sufuria lako.
- Chemsha hayo maji mpaka yachemke kabisa. Yakishachemka weka mafuta au siagi.
- Ukishaweka mafuta au siagi, weka sasa huo mchele kwenye hilo sufuria.
- Koroga kidogo halafu punguza kiasi cha moto [katikati ya low na medium]; ukishapunguza moto funika sufuria yako.
- Baada ya dakika 10 hivi funua mfuniko halafu koroga tena [na mwiko] mchele wako; punguza tena moto mpaka kwenye
'low' halafu rudisha mfuniko kwenye sufuria.
- Baada ya dakika tano, sita, au nane hivi funua tena mfuniko uuangalie wali wako uko kwenye hali gani. Kama maji yashakauka basi zima moto halafu rudishia tena mfuniko.
- Funika kwa kama dakika tano au saba hivi na baada ya hapo wali wako utakuwa uko tayari kuliwa.
NB: Haya maelezo ni yale ya msingi tu katika kupika wali mzuri usio rojorojo. Ni wajibu wako pia kutazama kwa macho yako hicho unachokipika na ikiwezekana kuongeza au kupunguza vitu kadha wa kadha , basi fanya hivyo.
AppreciatedKumbe trainer unajua kupika ehh?
step zako zote nazifuata ila sikorogi ama kugeuza mpaka maji yakauke. Mtoa mada ningemshauri atafute sufuria yenye mfuniko wake mzuri inayotunza mvuke pia.
Angalizo, huwezi kuweka nyanya kwenye wali. Kuongeza ladha unaweza kuweka viungo/spices, carrot ama sausage zilizokatwa ndogo ndogo.
Trick nyingine inayosaidia wali usidode ni kukaanga mchele. Osha mchele (wowote ule kuosha inaondoa kiasi cha wanga na vumbi, sijui ni obsession tu ya usafi pia?). Hiyo siagi ama mafuta weka kwa sufuria, ikishapata moto kabisa weka mchele na kaanga kidogo kama dk 3. Weka maji na umalizie kwa steps alizoelezea Nyani Ngabu
We utakua mwanaume wa Dar, bisha.....
Tafuta rice cooker, Mhongo kapunguza bei ya umeme acha kuhangaika na vitu ambavyo mzungu keshatusaidia
King'ast nipe huo upishi mpya wa maini.Shkamoo yako boss hahaha.
Mie napenda sana spicing. Bbq sauce nawekaga tu. Nilipata life lessons ya ku-stick to the type siku niliweka pork spices kwenye kuku haikufaa kula.
Nilitaka kutaja nazi kwa mtoa mada nikaogopa kumvuruga. Jana nilialikwa lunch nikajifunza upishi mpya wa maini nikafurahi sana.
Ahsante sana, ila Umesahau chumviKupika wali ni rahisi sana.