Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 48,645
- 42,464
NakaziaWakwanza Extrovert
NakaziaWakwanza Extrovert
Yanasemwa yapi?Hivi yanayosemwa kuhusu huyu mtu ni kweli? Au ndiyo yale yale ya wachuna ngozi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wanawake wote ambao mmeolewa.....
Mko kwenye ndoa zenu.......
Na mashati yenu ya vitenge sare sare na waume zenu.............
Salamu kwenu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nyie mlio kwenye ndoa zenu....lakini bado mpo ingle....
Yaani single but married (wenye viinglish vyenu pia mnywe maji mengi tu mtulie)
Mkisaidiana na wale ambao wapo lonely but married
Mjipige kifua mara tatu...... mfanye maamuzi na mapinduzi ya mwaka 2022.
Wale ambao hamna wa kuzungumza nae wala kucheka nae....ingawa mliosaini nao vyeti mnalala nao kitanda kimoja ..... jipepeeni tu
Wale ambao ndio mastriker.....mnalisha familia nyinyi.....mnalea watoto nyinyi...ila mnakumbatia mito wakati wapenzi wenu wakiwa busy kuchat na wapenzi wao (hahahahahahahahah) vuteni shuka mbu wasiwangate, wale ambao waume zenu 99% ya kipato chao wanahudumia wapenzi wao huko mitaani kunyeweni maji mengi kushusha uchungu........ na wale ambao wapenzi wenu hawarudi kabisa (au wamesafiri na wapenzi wao holiday) huo muda wa kulala usiku bora mkalinde sungusungu
Yaani kiufupi...........
Hebu mjitafakari kwa nini mko na hao wenza wenu.........................
Mchukue hatua ili muachane na upweke
Single wote mlio kwenye ndoa zenu............habari zenu tena.
Na nyie Married but Available(MBA) tutaonana mwakani, labda kutakuwa na ujumbe wa pasaka kwenu!!!!
Heri ya mwaka mpya kwenu wote!!!
Nb
kuna wanaume mbingu mtaisikia tu!!!
Inasekana anakuja kwako anaomba hifadhi kwamba ametoka ng'ambo huko anawatafuta ndugu zake...Na anakuonesha Document zote...
itabidi kuwapa nafasi ya kusherehekea mwaka mpya pamoja.......Wahusika wanakuja kukupa muongozo
Asante, heri ya mwaka mpya!!Umeandika kimzahamzaha lakini unamaanisha na ina maana kubwa sana
Ushauri murua "Mjipige kifua mara tatu...... mfanye maamuzi na mapinduzi ya mwaka 2022."
Uwe na mwaka mpya wenye baraka na mafanikio tele
ila kiroho kinauma...Siku hizi wanawake tunafocus kwenye kujipa furaha yetu sisi wenyewe, tofauti na zamani. Tunajitoa out, tunajipeleka shopping... whatever makes us happy.
We don't stay up late wondering where your sorry ass is.
We stay up late working on our side hustles building up empires on our own.
Na hapo ndo mnarudi kuja kulia lia humu kwamba tumekuwa wajeuri tukishapata hela.
Kumbe kule tu kuwapotezea visa vyenu kunatosha tu.
Nyie ndo wa kujitathmini 2022. Because we are not quitting on ourselves anytime soon.
You don't find love by taking your self out, going for shopping or by building an empire. They are not even close to being a substitute.Siku hizi wanawake tunafocus kwenye kujipa furaha yetu sisi wenyewe, tofauti na zamani. Tunajitoa out, tunajipeleka shopping... whatever makes us happy.
We don't stay up late wondering where your sorry ass is.
We stay up late working on our side hustles building up empires on our own.
Na hapo ndo mnarudi kuja kulia lia humu kwamba tumekuwa wajeuri tukishapata hela.
Kumbe kule tu kuwapotezea visa vyenu kunatosha tu.
Nyie ndo wa kujitathmini 2022. Because we are not quitting on ourselves anytime soon.
DuuhInasekana anakuja kwako anaomba hifadhi kwamba ametoka ng'ambo huko anawatafuta ndugu zake...Na anakuonesha Document zote...
Then ukijichanganya akalala tu..usiku anafanya yake..Anakuwa na kikosi kazi chake wanasaidiana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wow... you're indeed a smart ghostYou don't find love by taking your self out, going for shopping or by building an empire. They are not even close to being a substitute.
I think wee need to fix and repair our broken ways. And for the broken fellas that can't be fixed, replace them.
An empire without love, is an empire of chaos. Even shopping ain't fun, if your partner is a pain in the ass. And after taking yourself out, you'll have to come back home, where your broken fella awaits.
You can't build a family where everyone seeks refuge out there on their own. We need families built on a firm foundation of LOVE. A family where you know your partner and other family members got your back.
So here is my two cents, fix your broken nigga, or replace him. Self love is a myth!
Chukua Pepsi kwa muha hapo ujilipie mwenyeweKuna mmoja alinambia " wewe unaolewa lini? Tafuta hata mwanaume uzae nae, huna mtoto huna mme upo tu, uoni shida kulala mwenyewe ? Au uende kwa mganga ukaogeshwe una gundu?.
Nikamjibu: nikiolewa wewe utafaidika nini? Ntaolewa nikitaka mimi siolewi kwa fashion oleweni nitakuwa wa mwisho.
Kuhusu mtoto nyie mkizaa inatosha.
Kuhusu kwa mganga kuogeshwa nikamwambia sitokaa nikanyage huko, hiyo hela si bora nimtumie mama ale? Kwa mganga na hizo chale nani anikate mwili wangu na viwembe?
Kwani wanaume wamekosa kiasi hicho? Mbona wapo tu wengi?
Haya yote alinambia baada ya yeye kumpeleka mme wake kwao kwaajili ya kuvalishwaa pete. Pete yenyewe alinunua mwenyewe ila wanawake tunapenda kiboya sana. Baada ya pete mimba kwa sasa wana mtoto.
Baada ya mwaka mara mme wake kafumaniwa na mke wa mtu, mara police, mara mke alofumaniwa nae kakutwa amekufa, kesi kibao.maisha yamebadilika.
Mara nikopeshe hela, nilivyo na roho ya kipumbavu nikampa,ina miezi 3 hajarudisha sasa hivi hatuongei hapokei simu, nasikia kashauza hadi tv.
Dear wenye ndoa zenu, muolewe kimya kimya sio kutunanga, sisi tutaolewa tukitaka, tangulieni tutawafata.sio kwamba hatutaki ila wakati wa mungu haujafika.
Nb.ndoa iheshimiwe na kila mmoja.
Una utani na mimi naona bill silipi
acha ubahili mtoto wa kikeUna utani na mimi naona bill silipi