Wale wanafunzi wawili watoroka Guest!!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,709
Wale madent wawili waliotelekezwa nyumba ya kulala wageni wametoroka baada ya kuaga wanaenda kula kisha kutokomea jumla!!!!
 
yaani hio story kama wanaigiza fulani hivi... hata hivyo wanajua what they are doing...
 
Asante sana maana wale walionisakama jana kuwa sina maadili sijui leo watasemaje
 
yaani hio story kama wanaigiza fulani hivi... hata hivyo wanajua what they are doing...
2 knw what your doing it mean kuaccept matokeo ya action yako!Wangapi wanajua haya?Au ndo yale unapata ujauzito unaanza kuchanganyikiwa!
 
Wale madent wawili waliotelekezwa nyumba ya kulala wageni wametoroka baada ya kuaga wanaenda kula kisha kutokomea jumla!!!!
NATA alidai kuwa hao mabinti ni watoto, lakini mi nakataa katakata kuwa kwa binti kama hao wenye umri usiopungua miaka 16 ni watu wazima kabisa japo hawajatimiza miaka 18, naamini kuwa hawakumfuata huyo jamaa bali walikwenda kwa ajili ya mambo yao binafsi.
 
yaani hio story kama wanaigiza fulani hivi... hata hivyo wanajua what they are doing...
kama movie, mara shule, mara likizo, mara wameroka kutoka arusha kwenda dar, mara jamaa alikuwa rafiki walieenda kumpa hi, mara wanadai alikuwa baba mdogo, mara anawataka tena wakamnyima, akawatelekeza, kupika pamoja na wahudumu, wanaomba nauli ya kurudi arusha tena wametoroka, mhhh!!! Hahahahahahahaha!!
 
Back
Top Bottom