Wale wa st. joseph university college of engneering hapa.

Thecoder

Member
Aug 10, 2015
47
5
Kwa wale walio wahi kusoma yaan waliomaliza na waliopo sasa, naomba tupeni ukwel juu ya ubora wa chuo hiki hasa kwenye maswala ya engineering.
 
siwez kusema ni kibaya...maana tunafundishwa...japo mwaka wa kwanza ukiingia wote utasoma kitu kinachoitwa general engineering...then mwaka wa pili ndo utaanza kusoma ulichokichagua..
 
Vp kuhusu ada km ukipata asilimia 100 katka engineering ww unalipia sh. ngapi
 
ada kwa engineering ni 3,030,400 ukipata mkopo asilimia mia ni kma umelipiwa 1,500,000 kwahyo inayobak hapo unalipa mwenyew....n.b mitihan tunayofanya hulipiwa na ni nje ya ada
 
Xo ile 2700000 n ya zamani? And why wanakuwa hawa update information zao
 
Back
Top Bottom