Wale mlio kwenye mahusiano na watu wa namna hii, huwa mnayafurahia maisha?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,491
40,508
Maisha yamekuwa na changamoto nyingi katika utafutaji, na kupelekea baadhi ya watu kutumia njia wanazo zijua wao ili waweze kufanikiwa.

Wapo walioingia maagano ya kumiliki vitu fulani ili maisha yao yaweze kuwa na mafanikio; mfano, wapo wale wanaovaa mapete makubwa, wengine kuna vitu wanaweka kwenye magari, majengo, nguo wanazovaa n.k, wengine wamechanwa miili yao na kupandikizwa vitu n.k

Na wengine baada ya muda fulani wanatakiwa wafanye ibada ili kudumisha yale maagano aliyopewa.

Sasa najiuliza; wale mlio kwenye mahusiano na watu wa namna hii, huwa mnayafurahia maisha?​
 
Aloelewa anieleweshe
 
Wwn unafikiria kuna mtu atakuja kusema uhalisia wa mambo hapa!??

Wengi wao utasikia niliwahi kua na mtu aliyekua hivyo kumbe ndio ako anaexperience wakati huu, ama atatoa ushuhuda kwa kumsemea mtu mwingine, ila sio rahisi kufunguka!!

Ww ungeuliza tu moja kwa moja kusudio lako nafikiri ingefaaa sana!
 
Najua kufunguka ni ngumu, ila wanaonekana, wanasema ni lazima ubebe msalaba uliouchagua.
 
Ukiwa na tamaa unazama;
Nakumbuka katika harakati za maisha miaka mingi imepita, kuna mkongo alitaka kuniibia mke kwa njia za kimitishamba, nikaenda kwa wazee wakaokoa jahazi.
Ndipo mzee mmoja akasema, nikikutazama naona unatakiwa uwe na mafanikio makubwa sana; nikauliza ki vipi?
Akasema, kuna kitu tutakufanyia kama utataka; nikauliza kitu gani?
Akanieleza, na masharti yake; nisinywe pombe maisha yangu yote, nisile kiti moto maisha yangu yote, nisitembee na wanawake zaidi ya mke wangu.

Nikatafakari, nikaona ni ujinga, sasa natafuta hela za nini kama nitakuwa nazo halafu matumizi, yako 'limited'; mke wangu akasema achana na huo upumbavu.

Nikawaambia siwezi; kwa sababu alisema iwapo watanifanyia na baadaye kukiuka nitakipata cha moto.​
Huwa wanaanzaga mbali kukuvuta taratibu kwa masharti rahisi mfano lete kuku lete ng'ombe kifuatacho mtu,ukinogewa wanakupumbaza utoki unakuwa mtumwa wao,kisha wanakudrive watakavyo wao ukitoka unakufa
 
Ukiwa na tamaa, unakuwa mtumwa, na maisha yako yanakuwa hayana furaha; ingawa wanaokutazama kwa nje wanakuona uko vizuri.
 
Wa

Wafanyakazi wako ndio wanaofurahia utajiri wako, kama mshumaa na mwanga. Uoni madada na makaka wa Kazi wa matajiri walivyo na nuru kuliko matajiri wenye nyumba.
 
Back
Top Bottom