Wakuu yamenikuta vinginevyo naomba msaada wenu!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Nilikuwa natizama space ya HDD nikaona nibora nifanye clean disc,baada ya hapo nikaona nikopress disk kupata enough space!!nikafanya hivyo baadae ikaniambia imemaliza!nikarudi katika system kama kawaida sasa nilipozima kujakuwasha inaniambia maneno haya,
AZEDJ is compressed
Press Ctrl+Alt+Del to restart lakini nimefanya hivyo inarudi na maneno hayo!!
Nasubiri msaada weni niendelee kushabikia ushindi wetu wa kimbunga!
Nawakilisha.Namsaada wenu unahitajika!
 
Back
Top Bottom