henry clemence olomi-mkuranga,..babu nuksi huyu kazi ya kugawa oc(ruzuku ya kila mwezi)ni ya katibu tawala(w)lakini anafanya yeye
Kama unajua mkuu wa wilaya aliyeachwa tupia hapa naanza
Athuman Mdoe- Mwanga
ni kweli huyu mwaka hatousahau mtoto kapewa mimba na dereva wake na ukuu wa wilaya umeyejuka...
huyo amebakizwa pale pale IGUNGAJe aliedai kuvuliwa hijabu yumo?
wakuu na huyu Mashimba H. Mashimba wa Tukuyu sijamsoma popotehuyo amebakizwa pale pale IGUNGA
Si jambo la busara kufurahia masahibu yaliyompata binadamu mwanziyo kuna siku yatakufika na wewe jambo lamsingi nikuombeana heri,pili hizi nikazi za watu kuna wakati ukifika ni lazima utawapisha wengine,tatu kuna suala la kufikia umri wa kustaafu sasa cha ajabu ni nini? au mtu mzima unashangilia matukio ya kawaida yote haya ni kukosa busara,cha msingi ni kuwatakia kila la kheri kwa maisha mapya Mungu Ibariki Tanzania.
Bahati Akili -Ilala dsm.