Wakuu wa wilaya waliotemwa...

Huyu JAMES K O MILLYA (LONGIDO) ndio yule aliyevua gamba akavaa gwanda?? Pls help
 
Stanley Kolimba-Uyui,Samson Kamote-Bukoba,Hawa Ng'humbi-Bukombe.

daah kolimba mzee wa totoz naye nje?mida ya kazi utamkuta new fama hotel tabora anaunguruma tu na totoz hahahaha!kweli ukuu wa wilaya bure kabisa.
 
daah kolimba mzee wa totoz naye nje?mida ya kazi utamkuta new fama hotel tabora anaunguruma tu na totoz hahahaha!kweli ukuu wa wilaya bure kabisa.

Si unajua alipewa ukuu wa wilaya kumpumbaza asifuatilie wala kumsupport mtu aliyetaka mwili marehemu kaka yake uchunguzwe, sasa ushahidi umefutika nae kafutwa.
 
Duh huyu jamaa nakumbuka alikuwa mkuu wa Chipukizi huko UVCCM kisha alikuwa kwenye mtandao fulani kisha akapewa ukuu wa wilaya ya Chunya na baadaye akapelekwa kwa akina Mwita kule Tarime. Nadhani ndio baadaye akahamishiwa kiteto na kuchinjiwa huko Kibaya! Niliwahi kunywa naye chai tukazungumza kidogo niliona kama ana future kumbe duh safari yake imeishia kwa akina Ole Nangoro.
Alianzia Chunya,bdae akapelekwa Karagwe, Tarime na Kiteto! Kada wa ukweli ambaye huwa najiuliza kwanini hajawahi bahatika kuteuliwa ktk Sekretarieti ya CCM Taifa. Badala yake wanakuwemo watu kama Nape,Makamba na Mwigulu!
 
Capt Gofrey katuni yeye kapangwa wapi? Alikuwa mkuu wa wilaya mbili,Musoma mjini na Musoma vijijini
 
timbilimu si nasikia Mkuu anataka kuichangua secretariat ya chama huenda jamaa akakumbukwa. Siamini kama huo ndio mwisho wake. Na kina huyu aliyekuwa Mbeya Mjini naye siamini kama ndio ametoswa moja kwa moja.
 
Capt Gofrey katuni yeye kapangwa wapi? Alikuwa mkuu wa wilaya mbili,Musoma mjini na Musoma vijijini

Mkuu mgeni wenu hakuna wilaya yoyote ya vijijini yenye mkuu wa wilaya. Ukisikia tu wilaya ya Dodoma vijijini ujue mkuu wake wa wilaya ni mkuu wa wilaya y Dodoma. Vijijini huwa wana halmashauri.
 
Last edited by a moderator:
Florence Horombe kwanini kaachwa?kafikia umri wa kustaafu or ?wana nzega hebu tujuzeni alikuwaje?.
 
mgeni wenu anaitwa capt. Ngatuni siyo Katuni. Jamaa ametulia sana yule hana papara na ana busara.

Inawezekana wamemchinjia baharini. Aliwahi kuutangazia umma kwamba chakula cha msaada kiliisaidia CCM kushinda kule Igunga. Mwingine ambaye sijamwona ni Kanali E.Mjengwa alikuwa Mbinga kama sijasahau.
 
Last edited by a moderator:
Hivi Wilaya ya makete ni nani vile? Ok, Alikuwa Kwikwega. naye kapigwa chini ili akasome nafikiri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom