Wakuu wa Wilaya hawa hapa!

Kazi ya wakuu wa wilaya ni kwenda kukata mashamba,kuwapimia maeneo ya madini viongozi na kuwakatia vipande vya hifadhi na vyanzo vya maji mawaziri na wana IKULU,ha ha wenzio wakijenga mbao lazima zitoke misitu ya Tabora,uduzungwa n.k nchi ya waliwao na mazumbukuku
 
Ukumbuke hawa pia ni wenyeviti wa kamat za ulinz na usalama za wilaya,ocd hapa,yeye pale,afsa usalama wa taifa kule,yeye hapa,mkuu wa mgambo pemben,kamanda wa sungusungu katikati
Mikoa 25 kila mkoa atleast wilaya 3 = angalau wakuu wa wilaya 70, Rupurupu + Salary * 75 =

Naomba kuuliza majukumu ya hawa wakuu wa wilaya, na je wanapimwa kila muda gani? na je wasipofanikisha nini kinawafikia? je wakifanya vizuri nini wanapewa?

Kwa kifupi napenda kujua kama hii kazi ina performance related bonuses na kama anayeshindwa anaweza kutolewa!
 
Hivi sasa yanatangazwa majina ya wakuu wa Wilaya wapya na
wazamani katika kituo cha ITV, baadhi yao wakiwemo Ahmedi Kipozi
Muhingo Rweyemamu, Venance Mwamoto. Hivi ni kweli cheo hiki kina
tija kwenye nchi yetu?...

ni best yake mkubwa sana JK na alikua anafanya kazi kwa manji mbaka mwaka huu,the guy is crazy,ana chekeshaaaaaa akikuhadithia vituko vya JK kwenye kampeni utajuta!..hongera zake!
 
Mikoa 25 kila mkoa atleast wilaya 3 = angalau wakuu wa wilaya 70, Rupurupu + Salary * 75 =

Naomba kuuliza majukumu ya hawa wakuu wa wilaya, na je wanapimwa kila muda gani? na je wasipofanikisha nini kinawafikia? je wakifanya vizuri nini wanapewa?

Kwa kifupi napenda kujua kama hii kazi ina performance related bonuses na kama anayeshindwa anaweza kutolewa!
Maundumla

Kusimamia ulinzi na usalama kwa maana ya kiunganishi cha usalama kwa vyombo vinavyohusika.
Kumwakilisha Rais kwenye eneo lake la wilaya.
Kusimamia shughuli za kiserikali katika eneo la wilaya
Mjumbe wa kamati ya siasa ya chama (CCM) wilaya
N.k.kama atakavyoona inafaa..............
 
Last edited by a moderator:
By Nambe novatus makunga wa itv ni mkuu wa wilaya ya hai,Na huyo aliyekuwepo Dr. Sigalla kaenda wapi? MBEYAITV wametangaza orodha nzima sasa hivi. Nadhani kuna mwana JF atatupa orodha kamili.
 
Mikoa 25 kila mkoa atleast wilaya 3 = angalau wakuu wa wilaya 70, Rupurupu + Salary * 75 =

Naomba kuuliza majukumu ya hawa wakuu wa wilaya, na je wanapimwa kila muda gani? na je wasipofanikisha nini kinawafikia? je wakifanya vizuri nini wanapewa?

Kwa kifupi napenda kujua kama hii kazi ina performance related bonuses na kama anayeshindwa anaweza kutolewa!

Hivi hawa watu wana umuhimu gani katika kuchangia maendeleo ya wilaya?kwanza wengi wao naona they are not good upstairs,huu utitiri wa vyeo vya kupeana inabidi ufikie kikomo,ni kuwabebesha mzigo tu wananchi!
 
Asante mkuu kwa kumkumbusha Mkuu mwenzio wa nchi kuwa kuna wilaya hazina ma-DC kama Kilombero, Masasi, Moro rural; Dom urban n.k. Hii ni kwa sababu JK hajakamilisha kazi ya kuunda serikali tangu baada ya uchaguzi mkuu Oct 2010.
Twi things as reasons for that:
- Mkuu amekuwa mtu wa nje ya nchi kwa kipindi kirefu na kwa kuwa hawaamini wasaidizi wake (Pinda na Bilal) atateua ma-DC atakapoamua kutulia. Au anangoja kikao cha CC ya CCM kimpe baraka?
- Ni kudhihirisha msimamo wa CHADEMA kuwa DC is a jobless piece of task. Erasse it from the organogram of governance. This MUST be prior agenda in discussions for the new constitution
 
Back
Top Bottom