Wakuu wa Wilaya hawa hapa!

Ndg zangu wanaJF. Heshima kwenu! Napenda kutoa ufafanuzi kuhusu mkuu wa wilaya ya Longido James Ole Millya kama ifuatavyo..
James Ole Millya wa CHADEMA siyo mkuu wa wilaya kama wengi wanavyodhani ila ukweli ni kuwa wakati James anazaliwa alipewa jina la mjomba wake aitwaye James Ole Millya ambaye ni ndiye mkuu wa wilaya ya Longido na wala siyo kuwa aliteuliwa juzi bali hata kabla ya uteuzi ule still alikuwa mkuu wa wilaya ile ile. Kwa hiyo JAMES OLE MILLYA CHADEMA (kijana) alirithishwa jina la kaka wa mama yake tumuite JAMES OLE MILLYA CCM (mtu mzima) ambaye ndiye DC wa Longido mkoani Arusha. Sometimes ni tamaduni za kimasai tu kurithishana majina. Asiyeelewa arudie kusoma taratibu then kama hajaelewa aulize tu. Naomba kutoa hoja.
Kwa hiyo kuavoid confusion unapom-adress DC ni vizuri kumalizia na neno Gamba i.e JAMES MILYA "GAMBA" na huyu dogo unamuadress JAMES MILYA "GWANDA"
 
Ndg zangu wanaJF. Heshima kwenu! Napenda kutoa ufafanuzi kuhusu mkuu wa wilaya ya Longido James Ole Millya kama ifuatavyo..
James Ole Millya wa CHADEMA siyo mkuu wa wilaya kama wengi wanavyodhani ila ukweli ni kuwa wakati James anazaliwa alipewa jina la mjomba wake aitwaye James Ole Millya ambaye ni ndiye mkuu wa wilaya ya Longido na wala siyo kuwa aliteuliwa juzi bali hata kabla ya uteuzi ule still alikuwa mkuu wa wilaya ile ile. Kwa hiyo JAMES OLE MILLYA CHADEMA (kijana) alirithishwa jina la kaka wa mama yake tumuite JAMES OLE MILLYA CCM (mtu mzima) ambaye ndiye DC wa Longido mkoani Arusha. Sometimes ni tamaduni za kimasai tu kurithishana majina. Asiyeelewa arudie kusoma taratibu then kama hajaelewa aulize tu. Naomba kutoa hoja.

Hata huyo ni DC ni Chadema kama ni hivyo
 
Pasco,
Wewe ungeteuliwa ningeshangaa sana. Kazi inayofanyika sasa ni kuondoa mabaki ya Lowasa ndani ya mfumo huu na wewe umejinasibu mara kadhaa kuwa mfuasi sugu wa EL. Ungeteuliwa wewe na FairPlayer angeteuliwa pia.
WC, sababu pekee ya mimi kutokuwemo kwenye list honestly ni kuwa mimi sio mwana CCM na sijawahi kuwa!. Namshabikia Lowassa kwa sababu sasa ni haki halali kuwa rais wa 2015 tunataka lazima atoke Kaskazini!. Wenzenu sasa tumechoka kutawaliwa na mazuzu!. Vipi nyinyi hamjachoka?.

Kama na wewe umechoka lazima utatamani CCM imsimanishe mtu kama EL ili 2015 tupate ukombozi wa kweli!.
Wenye macho wameona!.
Wenye masikio wamesikia!.
Wenye uelewa wamenielewa!.

Ni kwa kupitia Lowassa pekee ndani ya CCM anayeweza kutupatia ukombozi wa kweli mwaka 2015!
 
Sion tatizo,hata kama watakuwa wamempa kijana huo ukuu wa wilaya,atumie rasilimali na cheo hicho kuvuta wamasai zaidi ndani ya CDM..
 
Back
Top Bottom