Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 11,542
- 12,404
Huyu Amani Mwenegoha alifukuzwa na Kanisa (KKKT) kwa sababu ya ufisadi aliokuwa anaufanya kwa nafasi yake ya ukatibu mkuu wa KKKT. Sasa leo anapelekwa kuongoza wilaya ili akaendeleze ufisadi serikalini. Ivi kabla ya kufanya uteuzi kuna uchunguzi wowote unafanyika kujua background ya hawa watu? Au ndio ishu ya kujuana?
Wanasubiri aibe iundwe tume!
Chezea tanzania wewe..........