jiulize sasa wewe yawezekana unajua dini zao,mimi nimesema tu kusali naye siyo tatizo na siyo dhambikwahiyo wote ni wakatoliki
Yesu alisema nyumba yangu si mahali pa wanyang'anyiBiblia inasema kanisa linawahitaji zaidi wabaya kuliko wema. Kama unaamini Rais, igp na mkuu wa jeshi ni wabaya basi hapo kanisani ndipo wanapotakiwa kuwa.
sijui lawama zako za nini tena?
Sio kweli kwamba wote ni wakatoliki.
.Kwa mfano Juma Malewa ni muislam kanisani anafata nini?
Bora akina Mabeyo na Sirro wanaweza kusingizia kwamba wanasali
Mmm Id zengine duuuWako kwenye uzinduzi
Elezea tatizo unaloliona au kisa hujawahi kuwaona?? Ni vingapi inaviona kwa mara ya kwanza ila haupati taharuki yoyote??Wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini yaani Mkuu wa Majeshi,IGP,Mkurugenzi mkuu wa Idara ya usalama wa Taifa na Magereza kushiriki kusimikwa kwa Askofu mpya Massawe wa kanisa katoliki Jimbo la Arusha ni sawa sawa au kwasababu wako na msafara wa Mh Rais huko Arusha.
Sijawahi kuliona hili katika kuwasimika maaskofu hapa nchini kwa kuhusisha wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama.Labda kama kuna reference ambayo siijui.
Majeshi yetu hayana dini.
soma vizuri mada.toka lini kanisa likawapa wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama mwaliko wa kusimikwa Askofu....toa mfanoElezea tatizo unaloliona au kisa hujawahi kuwaona?? Ni vingapi inaviona kwa mara ya kwanza ila haupati taharuki yoyote??
Nachoona hapa kama kawaida, umetanguliza siasa mbele kuliko common sense, kitu ambacho ni ishara mbaya sana kwa mtu anayetegemewa na familia yake.
Kimvuli kinaishi.toka lini kivuli kikaona?
Gumboot diplomacy!Mmh naona wana piga mkwara mbuzi