Leteni Press Release yote jamani. Ila tu utendaji huu ni questionable!!!
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya bado hajahamishwa???
Kwa mkoa wa iringa abdul-azizi ni rc wa tano tangu mwaka 2006. Miaka minne tu hiyo.[/QUOTE]
Personally I very concerned with this........! au huyu jama anataka kugeuza huko IR kichwa cha mwendawazimu, ambapo kila kilaza hujifunzia huko siasa + Ufisadi? Reshuffle za namna hii sidhani kama zina maslahi kwa mkoa huo na taifa kwa ujumla.....!
Ni kweli bro, pangua pangua za namna hii zinagharimu sana, yaani utadhani serikali haina vipaumbele.
BTW,
Naona nzi wa JF leo wamechelewa sana kutia timu mahali husika, vinginevyo tungekuwa na orodha ya wakulu hawa mapema sana.
Thubutu!
Nani atakula sahani moja na Mwakyembe?

Kuna mapesa chungu nzima ya kusafirisha mizigo na familia za wahusika, kufanyiwa ukarabati kwa nyumba ambazo wanaenda kuhamia, gharama za mahotel kabla ya nyumba hizo kuwa tayari. Ukija kupiga hesabu mabilioni yataungua hapa. Bora tungekuwa na wakuu wa mikoa wanaopigiwa kura na wananchi katika kila mkoa badala ya kuteuliwa na Rais.

Hii ni moja ya hoja ya msingi sana katika sera ya mfumo mpya wa utawala ya CHADEMA ambao wengi wanaifahamu kama "Sera ya Majimbo"- kufuta vyeo vya kuteuliwa vya wakuu wa wilaya na mikoa na kuwa na viongozi wa kuchaguliwa na wananchi
Asha
Maane, yule Mh Mbunge wako uliyetaka jiuwa kwa ajili yake hajatupiwa hata mkoa wa Manyara ama Rukwa?
Hi raisi anapohamisha wakuu wa wilaya ama mikoa anatumia vigezo gani!