Wakuu tukumbushane vifo hivi & kuumwa:walidai haki za Watanzania

Malima alikufa kwa mshituko wakati akiwa England ktk honeymoon akakuta waziri wa fedha kafunga account zake za bamk. Pia namkumbuka kwa harakati zake za container la majambia.
 
Mzee umenikumbusha! Kwangu mimi hii ndiyo mama ya yote (mother of all).

Lakini pia tusimsahau mtangulizi wake Gilman Rutihinda!

Huyu ngoma ilmwondoa, enzi hizo unyanyapaa ulikuwa wa hali ya juu, watanzania wlikuwa hawafi kihivyo bali walikuwa wanakufa kwa TB, Typhod, kansa, matizo ya figo n.k Huyu mzee Rutihinda walisema alikufa kwa kansa ya kongosho au kiswahili kingine ni wengu au Pancreas ukipenda hii ni mafuta fulani chini ya tumbo. Kaburi lake liko mjini Ngala limejengewa pamoja na nduguze watatu mmoja nai mtoto wake Alex. Mkaburi hayo yalivyotengenezwa mwanangu ni kivutio cha watalii.
 
Daud Balali je?

HUYU NI MZIMA WA AFYA NA PLASTIC SURGERY YAKE....angebakia hai ki ukweli na kukamatwa kuhusiana na EPA the top Leaders in CCM & Gvt wote wangekuwa kesi maana kuna walipochukua ki-ukweli kuna waliotumika ama majina yao na baadae kuingizia ama kulipwa ktk account zaop ama za watoto wao na baadae kuelezwa ukweli. So BALALI IS SOMEWHERE HIDING ENJOYING NA KUNA UWEZEKANA MKUBWA HATA HAPA TZ ANAOINGIA NA KUTOKA WA-tz ni wapumbavu saaaana lakini si WAJINGA.
 
[/COLOR]

Mkuu,

Hivi Rutihinda hakuzikwa Buguruni?

Kuna simulizi kuwa kaburi lake lilifukuliwa vibaka wakamvua gold alizozikwa nazo. Ama si huyu?
 
HUYU NI MZIMA WA AFYA NA PLASTIC SURGERY YAKE....angebakia hai ki ukweli na kukamatwa kuhusiana na EPA the top Leaders in CCM & Gvt wote wangekuwa kesi maana kuna walipochukua ki-ukweli kuna waliotumika ama majina yao na baadae kuingizia ama kulipwa ktk account zaop ama za watoto wao na baadae kuelezwa ukweli. So BALALI IS SOMEWHERE HIDING ENJOYING NA KUNA UWEZEKANA MKUBWA HATA HAPA TZ ANAOINGIA NA KUTOKA WA-tz ni wapumbavu saaaana lakini si WAJINGA.

mavazi ya kichina anavaa viatu vya kichina uaaaaaaaaaaaaa,miwani ya kichina ameweka nywele za kichina uaaaaaaaaa,mapete ya kichina amevaa sura la kichina uaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

haya tena mwenye macho haambiwi tazama
 
Hivi kweli AC naye alikuwa na nini cha kuwafanya wamuondoe kama mnavyotaka tuamini??

Unawajua vigogo wa madawa ya kulevya wa nchi hii na nguvu waliyonayo? Ali mess with their interest, waka m silence yeye na mumewe. Watoto wao lazima waje kulipa kisasi, Time will tell.
 
NAAM, TUENDELEE KUKUMBUSHANA ZAIDI

1. Dr Omar Ali Juma (Makamu wa Rais Muungano - usingizini usiku) ?
2. Prof Haroub Othman (UDSM mara baada ya kuhudhuria hafla) ?

3. Prof Chachage (UDSM - aliporudi toka kwenye utafiti Kibaha) ?
4. Okemo (gazeti la the East African - kule Kimara)

5. Sheikh Gorogosi (Mikoa ya Kusini / ndani ya wiki moja na Prof Othman)
6. Malecela Junior (Purukshani na Nchimbi UVCCM)

7. Prof Mwaikusa (Kesi ya Kikatiba kuhusu mgombea binafsi)
8. .........
 
Tanzania ni zaidi ya uijuavyo.
Nakipenda sana kile kiitikio cha amani na utulivu.
 
1.Sokoine
2.Kolimba
3.Malima
4.Kombe
5.Nyerere
6.Chifupa
7.Salome
8.Balali
9.Rutihinda

ANAYEUGUA.
Mwakyembe (Dr.)

Mkuu japo kila nafsi itaonja mauti ila nafikiri Mwakyembe humtendei haki kwa kumuweka kundi moja na watu waliotangulia mbele ya haki. Nafikiri tunaongelea vifo vya hawa watu kwa kuwa walikuwa ni Public figure ila kuna watanzania wengi wa kawaida wanakufa kila dakika kwa kuanguka chooni, uzingizini, ajali, kupigwa risasi na polisi kwa kisingizio ni majambazi, n.k. Lakini kwa kuwa hawajulikana vifo vyao hatuwezi kuvitengezea conspiracy theories japo kwa imani za mtaani utasikia katupiwa jini, karogwa n.k.

Watanzania wengi tunaishi na cronic deseases bila kujijua, siku ikikukaba ghafla watu wanabaki midomo wazi, haaa nilikuwa nae asubuhi akiwa mzima kabisa. Nafikiri wa kulaumiwa hapa ni serikali hasa katika huduma za afya na usimamizi wa sheria kama usalama barabarani n.k. Tukidhibiti haya hata maadui wanaotaka kuchukulia advantage udhaifu wetu watashindwa.

Kuna jamaa ninamfahamu alisikia kichwa kinauma akameza pain killers kikapoa lakini akaona hata ni bora akafanye medical tests. Kwenda akakutwa na brain tumor akafanyiwa upasuaji mpaka leo anadunda. Je sisi ni wangapi wanaumwa vichwa na kusingizia uchovu, au hajanywa chai na kuamua kumeza pain killers tu. Je kama ni brain tumor si inazidi kusambaa na siku akikata roho ghafla baada ya mishipa kubanwa na ukuaji huo na kutokwa na damu masikioni mdomoni na puani tutakimbilia nini?, katupiwa jini.

Sikatai kuwa hao waliofariki wamehujumiwa ila pia siwezi kukubali kuwa wamehujumiwa maana sina facts za kuthibitisha hivyo. Hili la Dr Mwakyembe nafikiri tusubiri mwenyewe aweke report ya madaktari inayosema kuwa kilichopo kwenye bone marrow ni nini?. Kama ni Polonium au related material tutajua kuwa imeingizwa na hasidi wake, maana yeye si mkemia kusema ni ajili kazini.
 
1.Sokoine - Ajali baada ya kugongwa na Dumisan Dube
2.Kolimba - Mshituko wa moyo - CCM haina vision kumbe ina vision
3.Malima - Mshituko wa Moyo - Baada ya kugundua kwamba NRA haina uwezo wa kumwingiza ikulu
4.Kombe - Mistaken identity baada ya kufananishwa na white
5.Nyerere - Aliugua Leukemia na kila mtu analijua hili
6.Chifupa - Aliugua
7.Salome - Ajali ya kawaida huko Njombe

Naìve answers for critical questions!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom