Wakuu tukumbushane vifo hivi & kuumwa:walidai haki za Watanzania

Hao wote kuna mikono ya watu

1.Kuna wa ajali za kutengenezwa(Salome,Sokoine)

2.Wengine Kusingiziwa Ujambazi(Kombe)
3.Wengine Sumu(Chifupa,kolimba,nyerere)
 
1.Sokoine
2.Kolimba
3.Malima
4.Kombe
5.Nyerere
6.Chifupa
7.Salome

ANAYEUGUA.
Mwakyembe (Dr.)

1.Sokoine - Ajali baada ya kugongwa na Dumisan Dube
2.Kolimba - Mshituko wa moyo - CCM haina vision kumbe ina vision
3.Malima - Mshituko wa Moyo - Baada ya kugundua kwamba NRA haina uwezo wa kumwingiza ikulu
4.Kombe - Mistaken identity baada ya kufananishwa na white
5.Nyerere - Aliugua Leukemia na kila mtu analijua hili
6.Chifupa - Aliugua
7.Salome - Ajali ya kawaida huko Njombe
 
Si vizuri to speak badly of the dead.
Pia haina maana kumpamba aliekwisha kufa.
AC wala si madawa.
Msimpe credit asizozistahili
 
Ajali ya kawaida ipoje,mkuu?Namba 6 aliugua,aliugua nini,mbona mnatoa taarifa nusu nusu? Pale namba 4,inadhihirisha wazi kuwa watendaji wenu wasivyo makini.
 
Mimi navyojua Kolimba alipewa sumu kwenye microphone iitwayo "mercuric oxide gas" hii huua within 30 min. of inhalation.
 
Gen. Imrani kombe hakuuliwa kwa makosa.... aliuawa baada ya kutofautiana na Rais mkapa. Yeye alikuwa mkurugenzi wa usalama wa taifa. Alipoachishwa na kuulizwa apewe kazi gani alimjibu mkapa kwamba apewe muda afikirie.

Hapo ndo wakati mrema alikuwa akipata siri nyingi sana kutoka ikulu, then Kombe alihusishwa na kuvuja siri za ikulu na hapo ndo iliamriwa auawe.
 
Si vizuri to speak badly of the dead.
Pia haina maana kumpamba aliekwisha kufa.
AC wala si madawa.
Msimpe credit asizozistahili

AC ni kutokana na kuropoka kuhusu wahusika wa Madawa ya Kulevya. Ndio maana wanajua walichofanya pamoja na Mpaka route alijua hili.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Stan Katabalo

History has documented the horrific demise of an outstanding investigative journal of the defunct Mfanyakazi newspaper in early 1990s Stan Katabalo who sacrificed his spirit for the right course of this ailing nation but whose life ended up in the hands of anti-progress elements who are believed to have commissioned his manslaughter by armed banditry committed in a night raid of his Buguruni residence. The ecosystem agenda he took aloft during his last days now reveals wanton degradation and pouching to an alarming stage and has of recent sparked anger of the indigenous people in those locales.
 
Gen. Imrani kombe hakuuliwa kwa makosa.... aliuawa baada ya kutofautiana na Rais mkapa. Yeye alikuwa mkurugenzi wa usalama wa taifa. Alipoachishwa na kuulizwa apewe kazi gani alimjibu mkapa kwamba apewe muda afikirie.

Hapo ndo wakati mrema alikuwa akipata siri nyingi sana kutoka ikulu, then Kombe alihusishwa na kuvuja siri za ikulu na hapo ndo iliamriwa auawe.

True dat!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom