georgina george
Senior Member
- Dec 19, 2012
- 114
- 30
- Thread starter
- #81
Salaam wana JF!
Nilileta uzi hapa wakati fulani mwezi April, 2014 kwa ajili ya kuomba ushauri wa kitabibu baada ya kuwa njia panda; rejea uzi wangu: [thread]9203690[/thread].
Namshukuru mwenyezi Mungu kwa yote kwani nilifanyiwa OP tarehe 13 May, 2014; OP ilichukua saa tatu na hivi sasa naendelea kuuguza mshono nikiwa na maumivu ya tumbo japo si makali sana!
Kwa namna ya pekee, nachukua fursa hii kuwashukuru wafuatao kwa mchango wao wa mawazo na ushauri:
Asheengai, ZeMarcopolo, raymg, BALAKI, The Boss, IBM2014, Mamndenyi, Shadya9, Dina, King Kong III, Vinci, nestor83, Mama Mdogo na wengine wengi ambao sikuweza kuwataja hapa.
Mwenyezi Mungu awabariki sana! Japo bado sijaweza kupata nguvu za kuandika sawa sawa, lakini nimeona nitoe shukrani zangu kwenu.
Asanteni sana wana JF!