Wakuu naumia sana, naombeni msaada wa ushauri

Siku, moja tuko ndani ya gari dereva alikuwa dada mmoja hivi basi tukapigwa mkono na traffic wa kike alikuwa pisi kwa kweli kakaja kwa dereva wetu kakamwambia dada mbona una speed hivo na umebeba viumbe wachache na adimu sana, hebu wapeleke taratibu hawa viumbe ni wa thamani sana. Hii kauli ya huyu afande inanipaga kiburi kwenye mapenzi hadi sasa
Ko Gari zima mlikua wanaume tupuu? Woiiiiih
 
WAKUU SIJUI NI MTEGO KAMTUMA RAFIKI YAKE AJE KUMUOMBEA MSAMAHA LEO NIKAMJIBU KWAN HAWEZ KUJA MWENYEW WAKAT TUNATOK KAZIN KANIFWATA ET ANAOMBA MSAMAHA SASA WAKUU NIMSAMEHE AU NIMTESE KWANZA
 
Nilikuwa ninakimchepuko changu kidogo kidogo hivi nilikuwa na kikubali sana maana tulikuwa tunapika na kupakua, dah! Sikumoja nakuta kinaongea na mshikaji nakiuliza nan huyo kinasema sio mtu wangu nikajisemea huu ni upuuz huyu dem anamshikaji.

Siku moja nikakiomba shoo kikawa kinanizingua zingua nikajisemea huyu dem amesha liwa kiboga sasa napita hivi nayeye kapita hiv, sasa ni mwez sijamtafuta hajanitafuta sibembelezagi mapenzi mm.
Huyo alishaamua kukumwaga muda ni vile ulichelewa kujua.
 
WAKUU SIJUI NI MTEGO KAMTUMA RAFIKI YAKE AJE KUMUOMBEA MSAMAHA LEO NIKAMJIBU KWAN HAWEZ KUJA MWENYEW WAKAT TUNATOK KAZIN KANIFWATA ET ANAOMBA MSAMAHA SASA WAKUU NIMSAMEHE AU NIMTESE KWANZA
We huyo rafiki aliye kuja kuomuombea msamaha ungemla tu.
 
Hiyo ofisi yenu mnayoruhusu kuwa na wapenzi kazini inajishughulisha na shughuli gani?
 
Back
Top Bottom