Wakuu naomba kujua tafasili ya maneno haya na maana yake

Lutubija

Senior Member
Dec 27, 2014
125
10
haya maneno yana maana moja mwasisi , mbunifu,na mgunduzi NA je kama hayana maana moja kila jambo hapo linamana gani? naomba msaada wenu watalam wa kiswahili
 
Kabla haujauliza ulitakiwe upate majibu yako kichwani ndo uyafikishe hapa kisha tukuambie kama ni sawa ama si sawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom