wakuu msaada wenu please!

Hiyo S ya physics sio tatizo kweli???

kuna vitu viwili vya msingi kwenye choise
1. Ni jumla ya points katika masomo yako,
2. Principals mbili ktk comb yako,

sasa jamaa ana point b(4) d(2) s(0.5)= 6.5
na principal anazo mbili, so hapo s ya physics haina effect
 
ngoja nikutoe hofu, hapo chuo umepata tena kiulaini ishu labda utuambie tukupe maujanja ya kuweza kumaliza manake kuna sup huko na disco.(utani)

mwanafnzi wangu mwaka huu science mmefeli sana wengi mmetoka na ii au iii na hapo ni baada ta standardization, cutoff points ya chuo kwa scence this year ni 5 kwa wahandisi na kwa wa ualim ni 4.5 wewe nikikokotoa unayo 6.5 hivyo anza kutafuta joining instruction ya udsm
 
omba haraka,tena ukipata DIT utapata raha sana,utasoma kwa raha na zaidi utaiva kwenye fani

hajasema kama anataka DIT,amesema anataka udsm,asa cjui hayo mambo yako ya Dit yanatoka wapi humu!
 
kuna vitu viwili vya msingi kwenye choise
1. Ni jumla ya points katika masomo yako,
2. Principals mbili ktk comb yako,

sasa jamaa ana point b(4) d(2) s(0.5)= 6.5
na principal anazo mbili, so hapo s ya physics haina effect

Mr. Noah, kwenye guidebook apart frm cut off points na minimum req'mnts wameandika principal pass frm maths na phy ! Hapo vp na io S ?
 
Back
Top Bottom