Wakuu hivi kuna mtu ameishawahi kukutana na mwanamke ananunua nyembe dukani?

LUBEDE

JF-Expert Member
May 7, 2013
4,312
6,638
Wakuu hivi kuna mtu ameishawahi kukutana na mwanamke ananunua nyembe dukani?
mimi sijawahi aisee,lakini cha kushangaza unakuta nyeti zao safi kama sakafu ya tiles,hawa viumbe ni wasiri sana khaaa!
 
Mimi nauza duka.. ni kweli wananunua ila wengi huwa wanatumia watoto kununua

mwanza kwetu
 
Labda ushinde dukani halafu uwe unasikiliza wanachoagiza,mada nyingine bhana.
 
all_kinds_of_shaver.jpg
 
Back
Top Bottom