Wakuu, hii ni halali kweli?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Nimekutana na msichana flani hvi jana,tukabadlishana namba zetu za simu!cha kushangaza eti leo ananitumia tafadhali niongezee salio..ni halali kweli ukzngatia hata cjatupa nyavu bado?
 
Yuko sahihi kabisa hataki akupe nyavu kabla hajapata uhakika kama una hela wewe, lazima u demonstrate financial power yako ndipo akupende. Sasa dola ushaanza kulalamika akiomba corola je? tuachieni wazee nyie hamuwezi.

na nyie wazee ndio mnawaharibu hawa watoto wa kike kwa kuwainglia na gia ya pesa.
 
wanaume mbona tunajipendelea hivi, sasa wewe ulitegemea uone nyavu bure bure tu, hiyo sabuni ya kuoshea hizo nyavu atoe wapi? Msichana na yeye anahitaji kuwa na mtu ambaye yupo financial stable, lazima apate uhakika, isije ukawa MZIGO kwake! usilalamike sana kamanda ndivyo maisha ya leo yalivyo
 
Senetor unanchekesha! yani ki vocha tena hajakwambia ya kiasi gani unalalamika usitongoze kama hujui kuhonga...
 
Yaaani wanaume wa bongo bana, vocha mtu walia. labda yeye pia anatest kama mhongaji ama sivyo asepe zake usijempotezea time.
 
Senetor unanchekesha! yani ki vocha tena hajakwambia ya kiasi gani unalalamika usitongoze kama hujui kuhonga...

mkuu,kumbuka 2mekutana jana tu,leo naanza kupgwa vizinga,haya tukikaa mwezi si ndo ntaombwa ninunue Vx!
 
Nimekutana na msichana flani hvi jana,tukabadlishana namba zetu za simu!cha kushangaza eti leo ananitumia tafadhali niongezee salio..ni halali kweli ukzngatia hata cjatupa nyavu bado?

Ni halali kabisa, hebu lipia gharama za mazungumzo na tabasam lake la jana!
 
Mtumie Vocha kiasi cha Sh. 5000 halafu mu"observe" kiasi gani atatumia kukupigia wewe; Inatosha kuwa Jibu.

hapo jamaa ataambulia sms moja tu, halafu salio lililobaki litatumika kuchonga na kidume chake cha ukweli
 
Back
Top Bottom