Wakuu, hii ni halali kweli?

Yuko sahihi kabisa hataki akupe nyavu kabla hajapata uhakika kama una hela wewe, lazima u demonstrate financial power yako ndipo akupende. Sasa dola ushaanza kulalamika akiomba corola je? tuachieni wazee nyie hamuwezi.
Nimeipenda hilo shushu
 
Kazi ipo kk, bt kitabia haijakaa vzuri!Inategmea na wew ulvo na una plan gan nae!Ila chukua tahadhar ktk mamuz yko my braza!Dunia hii
 
Yuko sahihi kabisa hataki akupe nyavu kabla hajapata uhakika kama una hela wewe, lazima u demonstrate financial power yako ndipo akupende. Sasa dola ushaanza kulalamika akiomba corola je? tuachieni wazee nyie hamuwezi.

Mwambie huyoo! anaenda hospitali alafu anaogopa sindano? hahahahah
 
Kazi ipo kk, bt kitabia haijakaa vzuri!Inategmea na wew ulvo na una plan gan nae!Ila chukua tahadhar ktk mamuz yko my braza!Dunia hii
me nataka nimtafune tu thn niingie mitin!
 
Nimekutana na msichana flani hvi jana,tukabadlishana namba zetu za simu!cha kushangaza eti leo ananitumia tafadhali niongezee salio..ni halali kweli ukzngatia hata cjatupa nyavu bado?[/QUO

Kwani unataka Ndoa? Dogo usipende vya bure, Lipia vaucher mmbandue usepe...Demu keshakusoma wewe unataka kumpotezea muda tuu umdanganye. Sawa?
 
Back
Top Bottom