Aina gani ya window 7 unatumia?
Mkuu hata mimi nahitaji pia, ya kwangu ni: Windows 7 Ultimate, 32-bit OS.....
Natanguliza shukrani...
MKuu achana na hiyo site fanya hivi:Wakubwa naomba msaada wa kupata Product key window 7 ili ni activate window
Nimefuata procedures za kufuata manually SOMA HAPA lakini nimekwama katika product key,nifanyeje?
Nitashukuru
R