Wako wapi mapedeshee walioimbwa na kugawa pesa kwa wasanii wa bendi?

Unaenda kuangalia onyesha la mpiga mateke wanawake halafu kesho ndio uje upande majukwaani eti ni muokozi wa wanawake,buure kabisa .
tayari kesi imekwisha mjomba , nina tiketi ya onyesho la lusaka , nimechoka na mziki wa injili wa Tanzania , bendi zimekufa
 
Back
Top Bottom