Wako wapi hawa?

Vica

Member
May 27, 2008
84
12
Jamani Mimi ni mepnzi wa Michezo na Burudani pia . naomba mnisaidie nataka kujua wako wapi SULEIMAN MATOLA na Mish Bomba Bomba!
Manake siwasikii siku hizi. Matola toka ametoka Sout ndo kabisanasika alikuwa Azam.Na mish Bomba Bombna Je?Yule mtangazaji Machachari wa Redio!
 
Ndugu yangu pole sana, umesubiri miaka mingi sana kupata majibu.
Daa, Matola yuko Msimbazi kama kocha msaidizi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom