Wako wapi hawa wanamageuzi waliosaliti mageuzi na kurudi ccm?

mzambia

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
885
60
1. Dr masumbuka lamwai
2. Dr walid kabourou
3. Prince bagenda
4. Tomas ngawaiya
5. ...
.... Na wengine mtanisaidia jamani wako wapi mbona kimya kny siasa za bongo?
 
Wapo hao mfano lamwai yuko tumaini university ndo mkuu wa kitivo cha sheria paleee
 
ngawaiya alitangaza nia jimbo la moshi akatolewa ktk kura za maoni!yupoyupo tuu hana ishu
 
Lwakatare yumo yumo tu, anawania kwa mbali nafasi ya zitto lakini maji marefu..
 
1. Dr masumbuka lamwai
2. Dr walid kabourou
3. Prince bagenda
4. Tomas ngawaiya
5. ...
.... Na wengine mtanisaidia jamani wako wapi mbona kimya kny siasa za bongo?

Wanaharakati Hawa wameshindwa kutokana na ukiritimba,udini na ukabila ulio jaa chadema ndio maana waliamua waihamena hasa pale Mbowe alipokabidhiwa madaraka na Mkwewe bila kutumia democrasia
 
Jamani lengo langu ni kuwajua wanamipango gani kisiasa hasa huyu prince bagenda
 
Na mwinjilisti kamara kusupa naona amekuwa mwandishi wa gazeti la ccm tazama tanzania naye ameachana na siasa
 
Jamani lengo langu ni kuwajua wanamipango gani kisiasa hasa huyu prince bagenda
mipango gani kisiasa ili iweje ndo washaloweka na jiki hvo.................sisiem imewachanachana imewatupa kuule ka waimbavyo.
 
Wanaharakati Hawa wameshindwa kutokana na ukiritimba,udini na ukabila ulio jaa chadema ndio maana waliamua waihamena hasa pale Mbowe alipokabidhiwa madaraka na Mkwewe bila kutumia democrasia

Hivi Bob Makani ni mkwe wa Mbowe!?, maana katika kumbukumbu zangu Mbowe alipokea madaraka kwa kuchaguliwa baada ya Mzee Makani, naomba kurekebishwa if I am wrong.
 
Hivi kumbe walisha wahikuwa wanachama wa chadema Bull hebu nikumbushe vizuri .......au umechanganyikiwa .......maana bila kutaja CDM siku haija isha
 
Back
Top Bottom