Wako wapi hawa wanamageuzi waliosaliti mageuzi na kurudi ccm?

Prince Bagenda yupo Dar na alikuwa ktk timu ya kampeni ya JK upande wa habari akiwa na Muhingo Rweyemamu na Charles Charles. Msabaha alikuwa katibu wa CCM Kigom na sasa ni mkuu wa kitengo cha Propaganda CCM makao makuu. Ngawaiya ni m/kiti wa jumuiya ya wazazi K'njaro. Lamwai ni dean, faculty ya sheria Tumaini University. Daniel Nsanzugwanko ameshindwa ubunge majuzi tu kule Kasulu
 
1. Dr masumbuka lamwai
2. Dr walid kabourou
3. Prince bagenda
4. Tomas ngawaiya
5. ...
.... Na wengine mtanisaidia jamani wako wapi mbona kimya kny siasa za bongo?
Ukisha rudi CCM ndio unakuwa umejimaliza mwenyewe kwenye siasa za bongo. Hao wote si watu tena bali watu tu kwenye siasa za Tanzania!! Mi ningewashauri wanasiasa wapinzani kusimama imara pale walipo wasikubali kuyumbishwa yumbishwa na kudanganywa na CCM. Tukipata katiba mpya ndio itakuwa suluhisho kwa kuwa tutakuwa na demokrasia ya kweli.
 
Wanaharakati Hawa wameshindwa kutokana na ukiritimba,udini na ukabila ulio jaa chadema ndio maana waliamua waihamena hasa pale Mbowe alipokabidhiwa madaraka na Mkwewe bila kutumia democrasia

Chuki zote za nini? Karata ya udini/ukabila alizotumia jk wakati wa kampeni dhidi ya cdm ziliprove failure! Tafuteni karata nyingine mkishauriana na Makamba/Kinana et al.
 
Back
Top Bottom