Wakili maarufu arusha akutwa na tsh 40 billion za AL shaabab

acheni unafiki nyinyi, yani watu hua ni hodari kweli kufuatilia mambo ya watu ambayo hata hayana maana, MWAKICHI wewe hizo 40 b wewe ndio ulimuwekea kwenye account yake how do you know kwamba ana hizo hela, amekuoa wewe? mana huwezi kujua ukali wa pilipili unless umeionja wewe hayo mambo umeyatoa wapi, tanzania hii inamatatizo kibao mambayo mngeweza kuyaripoti humu ndani, mara ooh sijui watu wa interpool, umbea hua unasambaa kuliko ukweli, people are very stupid in here, we al shabab uliwaona? baaada ya kufata mambo yanayo kuhusu kazi kufata mambo ya watu, watu wengine bwana ni watu wazima ila kama wachamba wima midomo imewasimama shauri ya maneno, umbea na unafiki. rorho mbaya haisaidii ndugu yangu, watu wana husle ila hawatumii umbea kama wewe shoga wewe
MI6136
Join Date : 7th August 2011

Posts : 5
Rep Power : 0

Mbona hii issue haieleweki mara bilion 6 mara bilion 18 ila wewe ndo umefunga hesabu

wakili maarufu mjini arusha ashikiliwa na polisi kwa order kutoka marekan baada ya kugundulika akaunt yake ya benki ya stanbic tanzania kua na kias cha tsh 40bill..wakili huyo alishikwa ktk gari yake ya kifahari aina ya escelade na kukutwa na tsh million 20 ambazo alisema ni za matumizi yake madogo madogo ya siku..kwa taarifa zilizo rasmi zinanasema wakili median mwali anahusiano na al shabab na interpol walimfatilia kwa karibu mpaka kumtia hatian hivi majuzi.....

serikal ya tanzania iko wapi mpaka tuwe tunapokea taarifa kama hizi kupitia interpol?hawa usalama wa taifa kazi yao nin?

e bwana hebu tupe sources maana kuna story tofauti mara kakutwa nazo crdb bilioni 6 mara bilioni 18 ila wewe unanishtua na hiyo al shabaab

Mawakili wengi wanapata fedha nyingi kwa kazi zao naamini kazipata kihalali c dhani kama ni mjinga kuziingiza fedha hizo bank kama zingekuwa chafu ni majungu tu huyo wakili ukoo wao ni wa matajiri alirithi kampuni ya baba yake aliyekuwa wakili enzi hizo na alikuwa na hela mbayaaaaa cshangai na yeye kuwa na helaa nyingi ni majungu tuuuu na subiri atakavyoigaragaza kesi mahakamani na kudai fidia kabambe kweli wajinga ndo waliwao hivi kabla ya kumkamata walikuwa na inteligensia ya kutosha isije ikawa kama ishu ya maandamano ya cdm ila kwa kawaida polisi hukamata kwanza na kuanza uchunguzi itawacost sana hiyo!!!!

Mbona hii issue haieleweki mara bilion 6 mara bilion 18 ila wewe ndo umefunga hesabu

Ndugu yako nini mkuu, maana naona unatetea sana huyu mtu. Katika hali ya kawaida kama ataweza kuonyesha jinsi alivyoweza kupata hiyo ngawira itakuwa haina shida. Katika nchi yoyote ni kitu cha kawaida kwa wanausalama kufuatilia pale wanapoona mtu anatengeneza pesa nyingi kiasi hiki tena kwa muda mfupi...kesi gani amesimamia kuweza kutengeneza cash kubwa kiasi hicho, biashara gani anafanya etc.. acha hasira

Inawezekana akili yako ni finyu kama pale mkojo wako unapofikia ndio akili yako inapo ishia, usifikiri watu wanafanya kesi tu ndio wanpata hela kijana, the issue here sio kupinga mtu kuchunguzwa na usalama, issue hapa ni TAARIFA, Toa taarifa za kweli sio umbea, swa la undugu linaweza kua maneno tu ambayo hata nyuma ya kanga yapo na kwa msisitizzo yanakaa nyuma kwa kua hayana maana, ila wajinga kama wewe hua ndio wanaoyatilia maaana

acheni unafiki nyinyi, yani watu hua ni hodari kweli kufuatilia mambo ya watu ambayo hata hayana maana, MWAKICHI wewe hizo 40 b wewe ndio ulimuwekea kwenye account yake how do you know kwamba ana hizo hela, amekuoa wewe? mana huwezi kujua ukali wa pilipili unless umeionja wewe hayo mambo umeyatoa wapi, tanzania hii inamatatizo kibao mambayo mngeweza kuyaripoti humu ndani, mara ooh sijui watu wa interpool, umbea hua unasambaa kuliko ukweli, people are very stupid in here, we al shabab uliwaona? baaada ya kufata mambo yanayo kuhusu kazi kufata mambo ya watu, watu wengine bwana ni watu wazima ila kama wachamba wima midomo imewasimama shauri ya maneno, umbea na unafiki. rorho mbaya haisaidii ndugu yangu, watu wana husle ila hawatumii umbea kama wewe shoga wewe

Mkuu binafsi naona mtoa maada hajakosea lolote katika kui post hii thread, kama kimtazamo hujaenda nae sawa muumbue kwa hoja na wala si kwa kauli kama hizo kwenye red, kimsingi that kind of attack makes no sense at all.

a silly question deserves a silly answer, the same applies to silly arguments, it is embarrasing kwa mtu mzima kama wewe sijui nani siju BABA V kushabikia upuuzi wa huyu bwana, taaarifa ya habari ya tbc ya tarehe tisa siku ya mwezi wa nane mwaka huu ilisema anashitakiwa kukutwa na billion mbili na sio 40 ama kumi na nane, ni hoja gani ambayo ulitaka mimi ni ijibu kwa huyu mkosa akili mwenzako?, je inahitaji mtu kua proffesor kutofautisha maji na mafuta? Unja maneno yako kbla ya kuyaongea, inawezzekana wewe pia ufikiri wako ni mfinyu sana

Back
Top Bottom