Wakazi wa mikoani fuatilieni ndugu zenu wa kike wanafanya nini Dar

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Mar 25, 2020
4,425
9,824
Ewe mama, baba, kaka, dada fuatilia binti yako au mdogo wako anafanya nini Dar. Hali ni mbaya kwa kweli ukahaba na udangaji umefanywa kuwa ajira, sawa ni maamuzi binafsi ya mtu ni mwili wake lakini kwa utamaduni wetu ni fedhea kwa mwanafamilia kujihusisha na hii biashara.

Baada ya bugudha nyingi uko barabarani sasa wakina dada kila kukicha wanabuni platforms mpya za kufanyia biashara zao. Kwa sasa wamevamia kazi za uhudumu wa bar na vituo vya massage. Uko kwenye kumbi za starehe ndo hatari tupu wasichana wadogo wanaleweshwa pombe na kuishia kuingiliwa kinyume na maumbile wakiwa hawajitambui.

Kuna wanaofanya ukahaba directly uko kwenye kumbi za starehe, mitandaoni, vituo vya massage n.k na kuna wanaofanya ukahaba indirectly kupitia mahusiano rasmi ya kimapenzi maarufu kama wadangaji.
 
Sio Dar tu. Mikoani hasa mijini. Biashara ya ngono zipo na zinawateja. Kuna mpaka slogan nazisikia. Nyuma buku mbele nyongeza.

Kifupi biashara ya ngono ipo na haiwezj huisha. Maana wanaouza wanapata pesa na wateja wapo wengi tu.

Nashangaa dar wanavunja madanguru.
 
Unakuta Binti amemaliza Chuo, Eti anabaki Mjini Kutafuta Maisha, Harudi Nyumbani, Anasubiria Kazi Dar, Mi Nnavyo kama Vitatu, Full Mizinga
Niliachana na demu wangu (maana hakuwa na sifa ya kuwa girlfriend) kwa sababu hii. Mwishowe niliona nitachanganywa na ni kweli nilimuacha na kijana mwingine na mbaba mmoja mtumishi wa umma ana wake wawili.
 
Ewe mama, baba, kaka, dada fuatilia binti yako au mdogo ako anafanya nini Dar. Hali ni mbaya kwa kweli ukahaba na udangaji umefanywa kuwa ajira, sawa ni maamuzi binafsi ya mtu ni mwili wake lakini kwa utamaduni wetu ni fedhea kwa mwanafamilia kujihusisha na hii biashara.

Baada ya bugudha nyingi uko barabarani sasa wakina dada kila kukicha wanabuni platforms mpya za kufanyia biashara zao. Kwa sasa wamevamia kazi za uhudumu wa bar na vituo vya massage. Uko kwenye kumbi za starehe ndo hatari tupu wasichana wadogo wanaleweshwa pombe na kuishia kuingiliwa kinyume na maumbile wakiwa hawajitambui.

Kuna wanaofanya ukahaba directly uko kwenye kumbi za starehe, mitandaoni, vituo vya massage n.k na kuna wanaofanya ukahaba indirectly kupitia mahusiano rasmi ya kimapenzi maarufu kama wadangaji.

Inasikitisha sana,kuna wengine hata mkiwatumia nauli warudi mkoa wanakula nauli au wakirudi hawamalizi mwezi wanarudi dsm.
 
Back
Top Bottom