Uvaaji wa Culture (Bracelet) na tabia za ukahaba kwa dada zetu

jerryempire

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
5,131
8,655
Habari,

kwanza niipongeze serikali kwa kufungia tovuti zote za video za porn( maarufu kama X videos) uamuzi huo umefikiwa leo tarehe 19/7/2021, ambapo tovuti zote za ngono zimekuwa burned na serikali hutaweza kuziangalia kwa kupitia kifaa chochote iwe ni simu wala computer

JE, SERIKALI INALIJUA HILI:
Ni kwamba kwa sasa biashara ya ukahaba imeshamiri mno hasa dar es salaam na Zanzibar na imekuwa ni biashara kubwa mno ambayo ndugu zetu( dada zetu) wanaifanya bila ya kificho,kiasi imefikia anakufata mpaka nyumbani kwako kwako kabisa mnafanya unamlipa mnafanya mpaka asubuhi anaondoka kwake.

Dada zetu wamekuwa wanajiuza kupitia mitandao ya badoo, tinder, tagged na hasa huko telegram ndo kumeoza kabisa,wengine ni wadogo umri wa miaka hata 15 maskini ya mungu,na wengine ni wake kabisa wa watu na wengine masupa star kabisa ndani ya nchi hii, serikali iangalie na huko hakika kumeoza mno.

Kwa sasa madanguro ya malaya, hasa Sinza, Tabata, Kinondoni, Temeke na Mwananyamala yamezid imefikia hatua wamekuwa wanakodi nyumba hata kumi katika mtaa mmoja na kuzifanya madanguro ya kufanya biashara hiyo sasa sijui serikali za mitaa zinafanya kazi gani maana ukifika kituoni ukimuuliza mtu yoyote akwambie wapi wanapopatikana wahaya utapelekwa.

Sehemu zote wanakofanya massage ndani ya dar es salaam kumeoza biashara ya hivi vituo vya massage kupewa vibali na serikali ni kuruhusu kushamiri kwa biashara hii ya ukahaba kwani asilimia kubwa ya watoa huduma hiyo huwa wanatoa huduma nyingine ya kimwili,ukitaka kuthibitisha hilo tembelea sehemu yoyote yenye huduma ya massage then waambie huduma zao lazma uchoke wanafanya mpka body to body massage mkiwa uchi wa mnyama.

Najua unaweza kuwa unayasoma haya lakini ukaona kama hayakuhusu lakini kiukweli ni kwamba yanakuhusu kama siyo anafanya dada yako basi jua ni dada yako,mkeo,shangazi yako na hata mama yako anaweza kuwa anaifanya na kwa sasa biashara nyingine kubwa wanayoifanya dada zetu ni kwamba mbali ya kufanya biashara hii ya ukahaba wana biashara nyingine kubwa ya kutengeneza na kuuza video zao za ngono mtandaoni.

wengi watastuka lakini serikali inapaswa kujua kuwa kila siku zinatengenezwa video zaid ya 1000 na kurushwa kwenye application nilizozitaja hapo juu kwa kiasi cha fedha hivyo kufungwa kwa hizo sites za ngono tutarajie kupatikana kwa video nyingi mno za ngono za kitanzania ambazo zinazalishwa na watanzania tena wengi wakifanya kinyume na maumbile na wengine wakidiriki hata kufanya threesome.

Mwanzo walikuwa wakionyesha sura zao live na wakiwa wanafanya uchafu wao lakini siku hizi kumekuwa na fashion hasa kwa wanawake wengi kuvaa bracelet(culture)za bendera ya Tanzania au kenya mkononi.

ndugu yangu ukimuona mkeo,au mpenzi wako anavaa hivyo mkononi au kuvaa shanga mguuni hesabu huna mtu hapo huyo ni kahaba na hiyo ndo huwa inatumika kama alama yao na wengi utawapata magomeni,sinza,tabata,mbezi,kinondoni,mwnanyamala,temeke,mbagala na kimara

hizi hapa ukimuona mtu kavaa ujue yupo kazini na kwa ushahidi angalia wengi waliocheza/au kuweka video zao za ngono lazma utawaona wamezivaa hizi culture mkononi.

serikali ikimalizana nao mtandaoni ihamie mitaani hali ni tete wasagaji kila mtaa wamejaa
images%20(2).jpg
images.jpg
 
Ni kama utani ila hatua hii ni msaada na ni moja ya njia ya kutatua.....

Itapunguza ukahaba/umalaya hasa wenye lengo la kusambaza/kuuza video maana hakuna soko...

Matatizo yanayosababishwa na kuangalia sana video za ngono mtandaoni hali inayotia chachu kupiga Punyeto inayoweza kuleta madhara mengine INAPOZIDI.

Uvivu, Mawazo ya ngono, Umaskini n.k. Kuna watu Hakosi bundle, lakini bundle hilo ni la kuingia kwenye mitandao hio pendwa na kuangalia videos za XXX, hapa nazungumizia wale addicted, kwa siku anatumia masaa kuangalia, Sasa kama anatumia mda mrefu kufanya hivyo Kazi/Elimu au shughuli yoyote ya msingi anafanya kwa mda gani? Na kama hafanyi Mambo ya muhimu kama hayo Atapataje pesa?

Kwahiyo unakuja kuona mtu anatumia pesa pasipo ya mda kuzitafuta, hapa sasa ndio kutafuta njia kitonga za upataji wa hizo pesa, naamini zinajulikana.

Kama ni kweli basi kati ya Mambo ya Msingi Serikali imefanya basi hili nawapa heko, na hakuna Sababu ya Kurudi nyuma... Kuna watu watasaidika katika hili Japo Mwanzoni ataona ni mateso.
 
Ivi wewe inakuuma nini mtu akijiuza mwili wake au hata kama anaingiliwa kinyume wewe unaumia wapi?

Watanzania tuache unafiki na kuingilia maisha binafsi wewe huyo mtu haumlishi,haumvishi wala hamsaidii kwa lolote unataka kuingilia maisha yake aliyochagua, ukiona huduma inatangazwa jua kuna wateja japo sio lazima uwe wewe au wewe uipende hiyo huduma
 
Acha watu watumie miili yao vile wanajiskia. Unataka Mabachelor wakapunguzie wapi ugwadu? Au unataka ubakaji uongezeke mtaani? Ikiwezekana serikali ihalalishe hii biashara na wakusanye kodi kabisa, watoe na elimu kwa wauzaji na wanunuzi jinsi ya kujikinga na magonjwa ya zinaa
 
Ivi wewe inakuuma nini mtu akijiuza mwili wake au hata kama anaingiliwa kinyume wewe unaumia wapi?
Watanzania tuache unafiki na kuingilia maisha binafsi wewe huyo mtu haumlishi,haumvishi wala hamsaidii kwa lolote unataka kuingilia maisha yake aliyochagua, ukiona huduma inatangazwa jua kuna wateja japo sio lazima uwe wewe au wewe uipende hiyo huduma
Yaan tumekua nanchi yakipuuzi sana. Kama kunamtu anamlipa mwanamke kwaajili yasex mtu inamsumbua nin?? Au walitaka watu waishi vip???

Video zangono nimoja ya elimu Kama elimu nyingine (Sex education). Nchi nimaskini Sana wengi wao wanaishi kwakipato cha chini ya dola moja, Kuna walio barikiwa kuoa, Kuna waliobarikiwa kulipia Malaya na Kuna wapiga punyeto wote wanafanya hayo kujitosholewa mahitaji ya miili yao, navideo zangono pamoja nauwepo wahao wanaojiuza zinasaidia kua source ya furaha nastarehe kwenye maisha yawatu.

Tumekua hatuna agenda zamaana zamaendeleo nimambo yakipumbavu tu kila kukicha
 
Yaan tumekua nanchi yakipuuzi sana. Kama kunamtu anamlipa mwanamke kwaajili yasex mtu inamsumbua nin?? Au walitaka watu waishi vip???

Video zangono nimoja ya elimu Kama elimu nyingine (Sex education). Nchi nimaskini Sana wengi wao wanaishi kwakipato cha chini ya dola moja, Kuna walio barikiwa kuoa, Kuna waliobarikiwa kulipia....
Globally, porn is a $97 billion worth industry, according to Kassia Wosick, assistant professor of sociology at New Mexico State University. At present, between $10 and $12 billion of that comes from the United States. Revenue from traditional porn films has been shrinking for the past several years.

Kuna watanzania hii hawaijui na hapo ni porno tu haujazungumzia biashara ya ukahaba ambayo ina mapato makubwa zaidi. Total Prostitution Revenue Worldwide: $186 Billion worth. Havocscope calculates the world's prostitution revenue by adding up the estimated market values from countries where prostitution revenue is available.

Kimsingi watanzania tunakasumba za ajabu sana ambazo hazina tija yoyote kiuchumi
 
Nimejikuta tu nawawaza wale wanaovaa hizo bracelets kama urembo huku wakiwa hawana wanalojua kuhusu hili.
wapo baadhi wanao vaa bila kujua lakin wengi wapo kwenye mtandao pendwa na ili uuze video yako wateja waipende na kuamini ni lazma utumie hyo ili wajue ni made in Tanzania.

hope kwa waliowahi angalia porn za Tanzania hawawezi kubisha hili la uvaljwaji culture
 
Bracelet na umalaya???. Duh.. unajua kuwa kuvaa bracelet ni utamaduni wa Mwafrika na jamii nyingi Kaskazini mwa Tanzania pamoja na za nchi jirani katika ukanda wa Afrika Mashariki huvaa bracelet.
Mkuu kunawatu nitakataka kabisa yaani. Kama kuvaa bracelet wanaitafsir hivo manake hii nimzigo mikubwa Sana kwa nchii inazurura huku nakule kutumalizia space, inakula nakuzalisha waste product tuu.
 
Mkuu acha kupotosha watu aisee, yani mtu kuvaa hiyo culture ndo anafanya biashara?? Watu wengi tu hupendelea kuvaa hivyo na hata hawajihisishi na hizo mambo.

Ukienda mikoa nje ya dar hasa iringa na njombe wengi wanapendelea kuvaa hivyo vidude na wanapokuja dar huja navyo. Hilo la kusema kisa video za utupu ulizoangalia ukakuta wamevaa hiyo na kuja na hoja jumuishi kama hiyo ni kuharibu biashara ya wanaotengeneza hizo culture.

Si ajabu uliona video ya mtu mmoja ila kasex na watu tofauti tofauti ukadhani ni watu wengi ama lah basi wewe ni mdau mkubwa wa pilau.
 
Back
Top Bottom