DOKEZO Wakazi wa Bomani, Tarime Mjini walia na tatizo la Mabomba ya Maji ya Kunywa kutoa maji Meusi (Machafu)

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Heparin

Senior Member
Sep 24, 2021
127
420
Inadaiwa kuwa wakazi wa Bomani, Tarime mjini wamekuwa hawapati maji safi na salama kwa zaidi ya wiki moja sasa. Pia, inadaiwa kuwa wananchi hao hawapati ushirikiano wa kutosha kutoka kwa mamlaka husika.

Maji yanayotoka ni machafu sana ambayo pia ni hatari kwa afya zao. Mamlaka zitazame suala hili.

Daaa hatari kwa afya ,sema tunamchanganya mama sasa Bandari imeingiaje ?
 
Back
Top Bottom