Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,622
- 46,061
Eti unawezaje kumtukana mtu Malaya??
Eti unawezaje kumtukana mtu Malaya??
Usikuwe hivo bhana. Mrembo kama ww hustahili kuachwa.Nije ili na wewe uniache siyo?
Eti unawezaje kumtukana mtu Malaya??
Pole dearAliniacha sababu sikumpa mbususu nikidhani bado ni mapema hadi tufahamiane na kuzoeana zaidi, eeh kikafuata kibuti heavy nimebaki nalia lia tu maana i truly loved him
Aliniacha sababu sikumpa mbususu nikidhani bado ni mapema hadi tufahamiane na kuzoeana zaidi, eeh kikafuata kibuti heavy nimebaki nalia lia tu maana i truly loved him
Naamka tu asubuhi nakutana na sms "mpenzi nimeota unanicheat ati ni kweli..?"
Nikajibu mi sijui! Hapohapo nikaambiwa andelea na kutokujua kwako kwaheri! Kupiga nakuta nimeshablokiwa.
Mtaachana tu.Aisee naomba Mungu yasinikute maana huyu mtu nampenda adi najichukia
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Mimba inaweza kupimwa DNA?
Unahisi mimi ni mrembo? Ungejua mkuu🙄 na ndiyo maana naachwaUsikuwe hivo bhana. Mrembo kama ww hustahili kuachwa.
We acha hizo bhana. Ujue nakuelewa sana.Unahisi mimi ni mrembo? Ungejua mkuu na ndiyo maana naachwa
Thank you dearPole dear
Hahahahaha kamanda pole sana.Baada ya kumaliza kozi jkt mujibu wa sheria siku tunarudishiwa simu tu nikajiunga mwenyewe nimtafute mpenzi ile namtumia sms "mambo bby" alichonijibu sasa nan baby wako akasema mm sio baby wako sikujui mm itakua umekosea namba hakyamungu pitshort niliiona nzito had leo hii anajifanya kujtumisha mesej m namzoom tu
Sawa, ahsante 🙄, ila sasa hiyo bikra au used angejuaje wakati ndiyo kashaondoka mapema? Kwahiyo wewe ukishamtongoza mtu ile first date unataka na mbususu mkuu?Kama wewe sio bikra nampongeza Jamaa kwa uamuzi wa kiume kabisa aliofanya!,yaani nisumbuliwe na demu used aah wapi!
Nazan niwakt sahihi tukutane DM soon nakutembelea mrembo.Unahisi mimi ni mrembo? Ungejua mkuu na ndiyo maana naachwa
Thank you no 42.. i appreciate 👏We acha hizo bhana. Ujue nakuelewa sana.
Uko positive sana humu JF.
Mkuu kama hukupewa sababu yoyote,unataka za wengine ukafanyeje sasa,kama sii kutaka kujua visivyo kuhusu?Wasalamu wanaJF..
Nimekuwa kwenye mahusiano tofauti tofauti sijaachwa kama nilivyoachwa kwenye mataa round hii.
Mtoto mkali wa kitanga, nimetongoza kwa miezi kadhaa, kanielewa mapenzi yakaanza, hudumia sana, muda wote akawa anatamani kuwa na mimi muda wote, video call mpaka midnight, simu za kutosha kila siku, video zake za utupu ananitumia, ana mali safi, rangi ya andazi, konzi msumari.
Nikajisemea hapa nimeokota dodo kwenye mnazi, mtoto kakolea mpaka wanangu wakaanza kuni-snitch ila hakujali.
Siku moja kabla ya birthday yake nilimpa fedha ya tukio aka-celebrate ,she was very happy &she enjoyed alot akanishukuru.
Na hiyo ndio ikawa siku ya nikufungia vioo (nikaachwa bila sababu) nilitamani kulia kwasababu sikupewa hata mbususu.
Lile dodo nililookota kwenye mnazi niligundua ilikua nazi.
WAKATI WEWE UNAACHWA/KUACHA ULIPEWA SABABU GANI?
HahahaSababu gani tena zaidi niliambiwa na bonge la kipara la uzee wakati kijana mdogo Kama chungu kipya,pia eti mi mweusi Kama pampu halafu na bonge la mavigimbi na mguu Kama koleo.Vyote hivyo nikijiangalia ni sawa ila aliongeza chumvi.
We unacheka tu nipe hata pole!