Wakati unaachwa ulipewa sababu gani?

Baada ya kumaliza kozi jkt mujibu wa sheria siku tunarudishiwa simu tu nikajiunga mwenyewe nimtafute mpenzi ile namtumia sms "mambo bby" alichonijibu sasa nan baby wako akasema mm sio baby wako sikujui mm itakua umekosea namba hakyamungu pitshort niliiona nzito had leo hii anajifanya kujtumisha mesej m namzoom tu
Hahahahaha kamanda pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasalamu wanaJF..

Nimekuwa kwenye mahusiano tofauti tofauti sijaachwa kama nilivyoachwa kwenye mataa round hii.

Mtoto mkali wa kitanga, nimetongoza kwa miezi kadhaa, kanielewa mapenzi yakaanza, hudumia sana, muda wote akawa anatamani kuwa na mimi muda wote, video call mpaka midnight, simu za kutosha kila siku, video zake za utupu ananitumia, ana mali safi, rangi ya andazi, konzi msumari.

Nikajisemea hapa nimeokota dodo kwenye mnazi, mtoto kakolea mpaka wanangu wakaanza kuni-snitch ila hakujali.

Siku moja kabla ya birthday yake nilimpa fedha ya tukio aka-celebrate ,she was very happy &she enjoyed alot akanishukuru.

Na hiyo ndio ikawa siku ya nikufungia vioo (nikaachwa bila sababu) nilitamani kulia kwasababu sikupewa hata mbususu.

Lile dodo nililookota kwenye mnazi niligundua ilikua nazi.

WAKATI WEWE UNAACHWA/KUACHA ULIPEWA SABABU GANI?
Mkuu kama hukupewa sababu yoyote,unataka za wengine ukafanyeje sasa,kama sii kutaka kujua visivyo kuhusu?
 
Sababu gani tena zaidi niliambiwa na bonge la kipara la uzee wakati kijana mdogo Kama chungu kipya,pia eti mi mweusi Kama pampu halafu na bonge la mavigimbi na mguu Kama koleo.Vyote hivyo nikijiangalia ni sawa ila aliongeza chumvi.
Hahaha
 
Hakuna mwanamke ambae atakuvumilia hujui nimeamkaje nimeshindaje ww upo bize na mambo yako tu Sijawai kuwa kweny mahusiano ya namna hii mwanaume muda wote anawaza hela tu utasema umetumwa na kijiji hapana baba inatosha tafuta ambae unaendana nae kuna muda na mm napenda niwe na ww sehemu mbali mbali kama shoga zangu wanavofanya hapana hapana maisha mema
 
Back
Top Bottom