Wakati unaachwa ulipewa sababu gani?

Naamka tu asubuhi nakutana na sms "mpenzi nimeota unanicheat ati ni kweli..?"

Nikajibu mi sijui! Hapohapo nikaambiwa andelea na kutokujua kwako kwaheri! Kupiga nakuta nimeshablokiwa.
seems leo nitacheka Sana
 
D
Daah!mkuu ungeangalia reply yangu hapo juu,nlijibiwa kama ulivyojibiwa,cha ajabu alitaka kurud kwa kumtumia rafiki yake ila nmeamua kuweka ngumu,kama alikuwa ananipima ndo nishajiondokea ivo
Akirudi usimkatae Mwanaume hupaswi kukataa papuchi lakini unachopaswa kufanya Ni kumgeuza mchepuko tu that's all , ndio dawa yake ,yaani haumpi tena tension
 
Kuanzia sasa naomba tuachane uwezi kulea mimba au nikipata tatizo lolote
Siku mjibu nikawa kimya...
Ikapita Week 2 akanichek ninamimba nikamjibu sawa.ongera jambo la kheri.
Ila ni ya X wangu anakipato kizur cha kulea mimba na mtoto.nikamjibu sawa ila naomba usinitafute tena mahana msichana nilie nae sasa ni mkali mno..
Baada ya mudah rafiki yake ananiambia ile mimba ilipimwa DNA na kuonekana sio yake jamaa amesitisha uduma..

Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
 
Ilikuwa mida ya jioni hivi narudi zangu getto mdogo mdogo kinyonge sana kama nilihisi kuna kibuti napigwa,
Ghafla text ikaingia..Handsome nataka nikwambie kitu, nikawa nishajua kitakachotokea kutokana na mwenendo wake...nikamwambia go on,
Afu nikaweka simu silent nikatia mfukoni...nilikuwa nampenda sana huyu mrembo ko nikawa nahofia,
Simu sikuitizama mpaka nafika ghetto naoga napika nakula ndo nikakuta ka paragraph “Nimekuwa na wewe kwa muda mrefu ila naomba tuishie hapa, let give space each others ” nikajisemea kumbe nilikuwa nambana duuh
Nikajibu tu poa nimekuelewa..then nikapiga moyo konde nikafuta namba
 
Sababu gani tena zaidi niliambiwa na bonge la kipara la uzee wakati kijana mdogo Kama chungu kipya,pia eti mi mweusi Kama pampu halafu na bonge la mavigimbi na mguu Kama koleo.Vyote hivyo nikijiangalia ni sawa ila aliongeza chumvi.
 
Ilikuwa mida ya jioni hivi narudi zangu getto mdogo mdogo kinyonge sana kama nilihisi kuna kibuti napigwa,
Ghafla text ikaingia..Handsome nataka nikwambie kitu, nikawa nishajua kitakachotokea kutokana na mwenendo wake...nikamwambia go on,
Afu nikaweka simu silent nikatia mfukoni...nilikuwa nampenda sana huyu mrembo ko nikawa nahofia,
Simu sikuitizama mpaka nafika ghetto naoga napika nakula ndo nikakuta ka paragraph “Nimekuwa na wewe kwa muda mrefu ila naomba tuishie hapa, let give space each others ” nikajisemea kumbe nilikuwa nambana duuh
Nikajibu tu poa nimekuelewa..then nikapiga moyo konde nikafuta namba
Haku kutafuta tena !?
 
Aisee mnachekesha Sana ,

Hivi huwa mnasubiri Nini mpaka muambiwe hivyo!? Inamaana huwa hamzioni dalili Mbaya ambazo wapenzi wenu wanazo!?

Aisee Mimi nikionaga Mwanamke kaanza madrama yake tu huwa sisubiri tufikie hatua ya kudhalilishana huwa najitoa mdogo mdogo kisha napiga kimya mazima ,
 
Back
Top Bottom