Wakati Simba wanatembeza Kombe la Ubingwa VPL, Sisi Yanga tunamtembeza Mzee Mpili kwa kutupatia ushindi dhidi ya Simba

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,375
11,527
Mzee wangu aliwahi nambia vipaumbele vya Mzungu na Mswahili ni tofauti sana. Mzungu anawaza kuwa mwaka huu nataka nivumbue kitu fulani kiisaidie jamii mswahili anasema mwaka huu nikizikamata tu naoa mtoto mbichii. halafu mswahili atakaa kijiweni akilalamika kuwa mzungu anamhujumu. mzungu atakaa mezani akitafakari kitu gani kna ugumu.

Vipaumbele vya mzungu na mswahili ni tofauti sana. vipaumbele vya maskini wa akili na tajiri wa akili ni tofauti sana. SISI YANGA TULIPANGA MSIMU HUU TUKIKUTANA NA SIMBA LAZIMA AKAE. PIGA UA KWA KILA NJIA. NA TUNASHUKURU MZEE MPILI AMETUSAIDIA. Simba walipanga msimu huu wachukue tena Kombe kwa mara ya nne mfululizo . wakafungwa na T. Prisons,wakafungwa na JKT Ruvu na wakafungwa na Yanga. ILA KOMBE WAKALICHUKUA KUTIMIZA MALENGO YAO.

Wakati Simba wakipita Mtaani Kuonesha kombe lao la VPL sisi tutapita Mtaani kumwonesha Mzee Mpili kwa kutusaidia sana kuwafunga Simba.

Halafu mtu mmoja anakuja anasema Simba na Yanga zinafanana. zinafanana wapi?Simba ilihama ilipokuwepo Yanga miaka 5 iliyopita. ndo maana kwa sasa Simba kuifunga Yanga si Kipaumbele ni sehemu ya Mchezo. Ndo maana hamjasikia wanasimba wakigombana au kugombeza uongozi kwa kufungwa na Yanga. sababu wanajua Yanga ni team kama Team nyingine za Tanzania.
 
Wao wanamtembeza huyu hahahahahahaaaa wangemnunulia meno basi jamani,
FB_IMG_1626078844194.jpg
 
Hakuna mwanayanga mwenye akili finyu hivyo, aina hii ya watu wanapatikana mikiani tu. Mpili alicheza namba ngapi?
 
Mzee wangu aliwahi nambia vipaumbele vya Mzungu na Mswahili ni tofauti sana. Mzungu anawaza kuwa mwaka huu nataka nivumbue kitu fulani kiisaidie jamii mswahili anasema mwaka huu nikizikamata tu naoa mtoto mbichii. halafu mswahili atakaa kijiweni akilalamika kuwa mzungu anamhujumu. mzungu atakaa mezani akitafakari kitu gani kna ugumu.

vipaumbele vya mzungu na mswahili ni tofauti sana. vipaumbele vya maskini wa akili na tajiri wa akili ni tofauti sana. SISI YANGA TULIPANGA MSIMU HUU TUKIKUTANA NA SIMBA LAZIMA AKAE. PIGA UA KWA KILA NJIA. NA TUNASHUKURU MZEE MPILI AMETUSAIDIA. Simba walipanga msimu huu wachukue tena Kombe kwa mara ya nne mfululizo . wakafungwa na T. Prisons,wakafungwa na JKT Ruvu na wakafungwa na Yanga. ILA KOMBE WAKALICHUKUA KUTIMIZA MALENGO YAO.

Wakati Simba wakipita Mtaani Kuonesha kombe lao la VPL sisi tutapita Mtaani kumwonesha Mzee Mpili kwa kutusaidia sana kuwafunga Simba.

Halafu mtu mmoja anakuja anasema Simba na Yanga zinafanana. zinafanana wapi?Simba ilihama ilipokuwepo Yanga miaka 5 iliyopita. ndo maana kwa sasa Simba kuifunga Yanga si Kipaumbele ni sehemu ya Mchezo. Ndo maana hamjasikia wanasimba wakigombana au kugombeza uongozi kwa kufungwa na Yanga. sababu wanajua Yanga ni team kama Team nyingine za Tanzania.
Mzee mpili hatembezwi na yanga,nu viherehwre vya media ya tanzania,ndio vinampa nafasi huyo mzee

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ubingwa wenyewe wa kutengenezewa? Wala haunogi. Shinda kwa nguvu zako siyo kutegemea mbeleko za mamlaka.
Yanga buana,Kwan mpira unachezwa mafichoni?unaombaje mechi kumi uanzie kwa mkapa,msimu ulopita,Kama huna pesa si ujitoe!
 
Mzee wangu aliwahi nambia vipaumbele vya Mzungu na Mswahili ni tofauti sana. Mzungu anawaza kuwa mwaka huu nataka nivumbue kitu fulani kiisaidie jamii mswahili anasema mwaka huu nikizikamata tu naoa mtoto mbichii. halafu mswahili atakaa kijiweni akilalamika kuwa mzungu anamhujumu. mzungu atakaa mezani akitafakari kitu gani kna ugumu.

Vipaumbele vya mzungu na mswahili ni tofauti sana. vipaumbele vya maskini wa akili na tajiri wa akili ni tofauti sana. SISI YANGA TULIPANGA MSIMU HUU TUKIKUTANA NA SIMBA LAZIMA AKAE. PIGA UA KWA KILA NJIA. NA TUNASHUKURU MZEE MPILI AMETUSAIDIA. Simba walipanga msimu huu wachukue tena Kombe kwa mara ya nne mfululizo . wakafungwa na T. Prisons,wakafungwa na JKT Ruvu na wakafungwa na Yanga. ILA KOMBE WAKALICHUKUA KUTIMIZA MALENGO YAO.

Wakati Simba wakipita Mtaani Kuonesha kombe lao la VPL sisi tutapita Mtaani kumwonesha Mzee Mpili kwa kutusaidia sana kuwafunga Simba.

Halafu mtu mmoja anakuja anasema Simba na Yanga zinafanana. zinafanana wapi?Simba ilihama ilipokuwepo Yanga miaka 5 iliyopita. ndo maana kwa sasa Simba kuifunga Yanga si Kipaumbele ni sehemu ya Mchezo. Ndo maana hamjasikia wanasimba wakigombana au kugombeza uongozi kwa kufungwa na Yanga. sababu wanajua Yanga ni team kama Team nyingine za Tanzania.
Timu yako imechukua ubingwa, ila wewe mpaka leo unaweweseka tu kwa kipigo cha tarehe 3! Na bado tarehe 25 inakuja! Nayo mtapigwa tu. Hakuna namna.
 
Back
Top Bottom