Wakati nchi moja barani Afrika ikizundua Mtambo wake wa Mawasiliano kusoma Meseji za Watu Rwanda wao waja Kivingine!

Rwanda ni Moja si vyema kuanza kupenyeza tena, lugha za kuudhi zilizo pelekea mauaji ya kimbari. Acha kuitamka Rwanda kwa misingi ya kikabila.
===
Tanzania ni moja lugha zako chochezi za kuanza kutubagua watanzania kwa misingi ya kikabila zikome kabisa kuanzia sasa!! Sisi tunaamini binadamu wote ni sawa.

Kumbuka, upo kwenye ving'amuzi.... vya aina zote!!!
 
Rwanda ni Moja si vyema kuanza kupenyeza tena, lugha za kuudhi zilizo pelekea mauaji ya kimbari. Acha kuitamka Rwanda kwa misingi ya kikabila.
===
Tanzania ni moja lugha zako chochezi za kuanza kutubagua watanzania kwa misingi ya kikabila zikome kabisa kuanzia sasa!! Sisi tunaamini binadamu wote ni sawa.

Kumbuka, upo kwenye ving'amuzi.... vya aina zote!!!
 
Huo mtambo wa serikali unauwezo wa kusoma SMS za kawaida za mitandao ya simu pamoja na unencrypted IP content ila hauna Uwezo wa kusoma messages/content zilizotumwa kupitia protocols kama;

1. Https
2. Ftps
3. SMTP
4. End-to-End Encryption (E2EE)

Kumbuka: E2EE sio protocol on its own Bali ni mechanism inayoweza kuwa implemented kupitia protocol moja ama zaidi
 
Kila nchi ina plans zake.cha muhimu ni kuangalia tulipotoka,tulipo na tunakoelekea.So far tuko kwenye njia nzuri.Tutaelewana tu mbeleni
 
Tumeshanasa ktk mzunguko wa ufinyu wa fikra na mzunguko wa umasikini! Itatugharimu vizazi kadha na miongo mingi ya maumivu!
Nyoka hawezi kuishi kwa kula mkia wake.
 
Mzee, kama u naona Rwanda ni bora sana sasa si uhamie huko. Eti wana akili kama wayahudi. Who told you the Jews are better than any other race? Hii inferiority complex yako do not spread it to other loyal and dedicated citizens. Sisi wengine tunaipenda nchi yetu hata kama kuna mambo mengine yanatuudhi.
Sielewi kwa nini sisi watanzania hatutaki maendeleo kabisa. Kulipa kodi matatizo, any government regulation pia matatizo, sasa tunataka tuishi like a failed state!!! Tuwe wavumulivu and wepesi kukubali mabadiliko. For the greater good. Nenda nchi zilizoendekea ukaone the amount of regulation, huna kitambulisho tu hata kadi ya simu hupati. Sembuse hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana Mkuu tayari tumeshasitisha rasmi utoaji wa Uraia kwa Wageni halafu hata hivyo Siku hizi pia Rwanda tumeweka utaratibu mpya wa kuwataka Wanawake wetu waolewe tu na Wanaume Vipanga / Werevu ( very Intelligent ) ili ule ' Uhalisia ' wetu wa Kinyarwanda hasa wa ' Kitutsi ' usipotee hivyo sina uhakika sana kama nchi unayotokea Wewe huwa mna Watu wenye ' akili ' sana mpaka tukuruhusu Uoe Rwanda.

Kwa Tanzania Makabila ambayo tumewarusu Wanawake wetu ' Waolewe ' nao ni haya tu pekee kwakuwa tumegundua kuwa ndiyo yana uwezo mkubwa wa ' Akili ' ama unaokaribia au unaofanana na Wanyarwanda ila Makabila mengine ambayo hutoyaona hapa nikiyaorodhesha ' wasisumbuke ' kuja Kuoa Wanawake wa Kinyarwanda:

1. Wazanaki ( Mara )
2. Wahaya ( Kagera )
3. Waha ( Kigoma )
4. Wanyiramba ( Singida )
5. Warangi ( Kondoa, Dodoma )
6. Wangoni ( Ruvuma )
7. Wahehe ( Iringa )
8. Wanyakyusa ( Mbeya )
9. Wamakuwa ( Mtwara )
10. Wamaasai ( Arusha )
11. Wapare ( Kilimanjaro )


Kama Kabila lako halipo hapo au sijalitaja hapo juu usipoteze muda wako kutaka Kuoa Wanawake ' Majiniasi ' wa Kinyarwanda.
Rwanda hii inayotelewa jasho na Burundi? Rwanda hii ambayo Kagame akifa inategemea kutumbikia kwenye machafuko. Nchi ambayo inategemea uhai wa mtu mmoja. Rwanda hii tunayotegemea kuwahodhi wakimbizi wenu siku za usoni. Hiyo ni nchi au uchafu tu.
 
Kwa hyo unataka nchi isizindue huo mtambo.
una lalamika kusoma meseji hujui zitasomwa meseji zote hata ambazo zinataka kuhatarisha usalama wetu kama nchi?

Mnapenda case study iwe Rwanda baadae mnalala mika

Zuzu on move


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wageni 400, kwanza Rwandaair itasafirisha watu na kuingiza kipato na hotel zitapata wateja , Migahawa, tax pia zitafanya movement za hapa na pale hivo pato litaingia na kuboost mzunguko wa pesa hongera kamaradi Kagame Paul
 
Mbona
Hapana Mkuu tayari tumeshasitisha rasmi utoaji wa Uraia kwa Wageni halafu hata hivyo Siku hizi pia Rwanda tumeweka utaratibu mpya wa kuwataka Wanawake wetu waolewe tu na Wanaume Vipanga / Werevu ( very Intelligent ) ili ule ' Uhalisia ' wetu wa Kinyarwanda hasa wa ' Kitutsi ' usipotee hivyo sina uhakika sana kama nchi unayotokea Wewe huwa mna Watu wenye ' akili ' sana mpaka tukuruhusu Uoe Rwanda.

Kwa Tanzania Makabila ambayo tumewarusu Wanawake wetu ' Waolewe ' nao ni haya tu pekee kwakuwa tumegundua kuwa ndiyo yana uwezo mkubwa wa ' Akili ' ama unaokaribia au unaofanana na Wanyarwanda ila Makabila mengine ambayo hutoyaona hapa nikiyaorodhesha ' wasisumbuke ' kuja Kuoa Wanawake wa Kinyarwanda:

1. Wazanaki ( Mara )
2. Wahaya ( Kagera )
3. Waha ( Kigoma )
4. Wanyiramba ( Singida )
5. Warangi ( Kondoa, Dodoma )
6. Wangoni ( Ruvuma )
7. Wahehe ( Iringa )
8. Wanyakyusa ( Mbeya )
9. Wamakuwa ( Mtwara )
10. Wamaasai ( Arusha )
11. Wapare ( Kilimanjaro )

Kama Kabila lako halipo hapo au sijalitaja hapo juu usipoteze muda wako kutaka Kuoa Wanawake ' Majiniasi ' wa Kinyarwanda.
Mbona hujawataja wamanyema ambao wamewanusuru mabint wa kitutsi hapa kigoma tangu wakimbie vita ya 72. Na sasa vizaria vyao ndio hivyo vinasumbuasumbua watu JF.
 
Huku nchi moja barani Afrika ( jina nimeisahau nikikumbuka nitaitaja ) ikiwa si muda mrefu tu imetoka Kuzindua ' mfumo ' wake wa Kimawasiliano ukiwa na lengo Kuu la ' Kuchungulia ' meseji za Raia wake na ' Kuwadhibiti ' Watumiaji wake wawe wanaandika tu Habari za Kusifu na Kupamba hatimaye nchi ya Rwanda yaja Kivingine na huenda hili likawa ni ' Funzo ' kwa hiyo nchi niliyoisahau jina.

Ni kwamba Mwezi ujao ( namaanisha February 2019 ) nchi ya Rwanda itakuwa ni ' Mwenyeji ' wa ' Kongamano ' kubwa la Masuala mazima ya Teknolojia na Mawasiliano litakalowakutanisha ' Wadau ' mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali duniani huku lengo Kuu likiwa siyo ' Kuchungulia ' Meseji za Watu bali ni kuwasaidia Wananchi Wao kutumia Teknolojia na Mawasiliano katika Kudumisha Ufahamu, Bishara, Elimu na pia kutoa Uhuru wa Kutosha kwa Wananchi katika Kuzikosoa nchi zao lakini pia kudumisha ' Demokrasia ' katika nchi zao.

Wakati katika hiyo nchi niliyoisahau Jina Wageni waalikwa walikuwa ni 700 ambao kati ya hao 658 hawana ' Utaalam ' wowote bali walialikwa tu ili wakasifu na kushangilia kisha baadae wakalishwe ' Pilau ' la bure na wapewe Tsh 5,000/ kama Nauli na asante yao ya Kupoteza muda wao walipoalikwa, wakati kwa Rwanda Wageni waalikwa wa hilo ' Kongamano ' kubwa ni 400 ambapo wote hao ni Wataalam ( Experts ) tena wakubwa sana duniani katika masuala mazima ya Teknolojia na Mawasiliano.

Ni vyema hiyo nchi niliyoisahau Jina ikajifunza zaidi mambo mengi ya Kimaendeleo kutoka kwa nchi ndogo tu ya Rwanda yenye ' Ubarikio ' wa Watu wenye ' akili ' zinazowakaribia ' Wayahudi ' ili basi iweze kuendesha mambo yake. Teknolojia na Mawasiliano yawe ni ' chachu ' ya Kimaendeleo katika nchi na siyo ' adhabu ' kwa Wananchi kwa kuanza ' Kuwadhibiti ' na ' Kuchungulia ' hovyo Meseji zao na Wapenzi Wao au kama kutaka ' Kuwakomoa ' vile.

Akhsanteni Rwanda
Mungu ibariki Rwanda
Mwenyezi Mungu mbariki GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE


Nawasilisha.

Kwa wale watakaotaka Kusoma zaidi hasa juu ya hilo ' Kongamano ' Kubwa linaloandaliwa na Rwanda na litakalofanyika Mwezi ujao nendeni moja kwa moja katika Mtandao wa Habari wa CNBC Africa tafadhali.
Si nyie ndio mnaomlaumu JPM kwamba ana fuata tabia za kagame!
Si ni rwanda hiyo hiyo imeifilisi familia ya Rwigera, kisa tu binti Rwigera kagombea urais, sambamba na rais kagame!

Hivi Miss ingabire si yuko huko huko Rwanda magereza.
Sasa kwa kujitoa ufahamu na kutafuta kick humu JF, uko radhi kumsifia kagame kisa Gap ingine ya wizi imefungwa.

UFUATILIAJI WA KODI na UHALALI wa malipo na bundle packages za inetrnet kama lote.

Yup!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom