Wakaka wote wa JF

Lovely enough...

Unajua wengine unatupa mawazo maana maneno kama hayo hata kwa wake zetu hayapo!!!! LOL...
 
Hii mbona tulishaieleza sana tena kwa msaada wa Rev Masa...kwamba hata kama hayazeeki lakini yanakuwa kama ya nguruvuwe...siyo riziki tena! Mweeee.....

Orait orait sasa naona unaupeleka uzee to the next level hautaki kuwa mtawala wa life time kama KIM JONG...
 
Lovely enough...

Unajua wengine unatupa mawazo maana maneno kama hayo hata kwa wake zetu hayapo!!!! LOL...

Na small house je? Kama na huko hujawahi kuyapata basi bwana...utakuwa ni misiba ya kudumu!!
 
Orait orait sasa naona unaupeleka uzee to the next level hautaki kuwa mtawala wa life time kama KIM JONG...

Mhhh,

Kwa wale tulioona yaliyowakuta akina Mobutu ni vizuri kustuka mapema kama Mwalimu Kambarage tukang'atuka kabla ya kung'atuliwa na katapila!
 
Asante sana Preta, Nasi wakaka na Wababa wa JF tunawatakia kila la kheri

Ombi Langu

1: Kwa wadada na wamama wa JF ambao mmeolewa

Zitunzeni Ndoa zenu, watunzeni waume zenu ili Ndoa zenu ziwe za Furaha na Mfano wa kuigwa katika Jamii

2: Kwa wadada ambao bado mpo mpo

Muombeni Mungu awajalie wachumba wema ili mpate furaha siku Mkiamua Kuachana na Chama cha TABU na kujiunga na chama cha TAMU

Asanteni sana
 
Mhhh,

Kwa wale tulioona yaliyowakuta akina Mobutu ni vizuri kustuka mapema kama Mwalimu Kambarage tukang'atuka kabla ya kung'atuliwa na katapila!

Mchina bado tunaye anaweza akakutengeneza the way you want akakurudisha in you early 20's lakini hii inakuja AT YOUR OWN RISK
 
Mchina bado tunaye anaweza akakutengeneza the way you want akakurudisha in you early 20's lakini hii inakuja AT YOUR OWN RISK

Hizo biashara zilinishindaga kitambo. Why? Ili niendelee kufukuzana na wajukuu kukamata totoz au?
 
Asante sana Preta, Nasi wakaka na Wababa wa JF tunawatakia kila la kheri

Ombi Langu

1: Kwa wadada na wamama wa JF ambao mmeolewa

Zitunzeni Ndoa zenu, watunzeni waume zenu ili Ndoa zenu ziwe za Furaha na Mfano wa kuigwa katika Jamii

2: Kwa wadada ambao bado mpo mpo

Muombeni Mungu awajalie wachumba wema ili mpate furaha siku Mkiamua Kuachana na Chama cha TABU na kujiunga na chama cha TAMU

Asanteni sana

Umesahau kidogo hapo,

Wape garantii ya 100% freedom ili yale mambo yenu yasikwame ..au unaonaje?
 
Umenikumbusha verse moja kwenye wimbo wa MWANA FA anasema wanawake ni urithi wetu nilicheka sana

Hebu tuwekee kidogo tuione..si unajua kizazi cha nje ya dot com? Jamaa alitaka kumpa mtoto wake kichapo baada ya huyo dogo kumjibu dingi kuwa..."ndiyo mzee" wakati ule wimbo umeshika chati. Maskini dingi alikuwa hajui nini kinaendelea mitaani.. Leta verse basi nasi tuione.
 
avatar20103_14.gif

Nywele hizi....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom