“Wajumbe wa Kaskazini” Kusaidia Wahaya Kuiendeleza Bukoba

Omutwale

JF-Expert Member
Feb 4, 2008
1,429
1,045
  • Mkataba kusainiwa rasmi ijumaa
Utatekelezwa kupitia chama cha siasa ukihusisha vijana wasomi wenyeji wa Bukoba. Wazee waliohafiki kukikaribisha Chama na "Wajumbe wa Kaskazini" wamependekeza vijana wafuatao watafutwe, na washawishiwe/waombwe kugombea nafasi za uongozi
·John Rugarabamu
·Kahesha Denis
·Fadhil Ibrahim
·Derick Kimasha
·Venance Magesa
·Mwanahawa Khasim

Lengo ni kupata walau Madiwani 8/14 mwaka 2010 na kuunda Council.

Mafanikio ya Karatu na Tarime kutumika kama uthibitisho wa uwezo wa Chama mbele ya wananchi.

Wananchama wa CUF-BK na baadhi ya viongozi waanza kurejesha kadi kama risiti za DECI

Vijiwe vya kahawa ya asubuhi na jioni vyaongezeka sawia na mapigano yasiyoripotiwa na vyombo vya habari. Tarime ndogo iko hapa sasa. Hali ya BK-Town utafifiri uchaguzi ni kesho.

Natoka kidogo kwenda kusaga mtama wa kuweka kwenye mramba ili ijumaa tuwe na RUBISI ya kuwatosha wote watakaohudhuria. Kwa wasiokunywa pombe, Mramba utakuwepo.

Likyali Owa-ishe....
 
Omutwale,
Hayo jamaa wana sifa gani mpaka washawishiwe kugombea udiwani? Ni wana maendeleo au wapiga porojo tu?
 
Mlangila hawa watu wana sifa gani hadi waandaliwe? hebu tupatie sifa zao kidogo " wakora kwa kweli"
 
Mods tunaomba ile thread ya nyepesi-nyepesi irudishwe, habari kama hizi zinahitaji sehemu tofauti na hapa.
 
Omutwale,
Hayo jamaa wana sifa gani mpaka washawishiwe kugombea udiwani? Ni wana maendeleo au wapiga porojo tu?

Nyamungo said:
Mlangila hawa watu wana sifa gani hadi waandaliwe? hebu tupatie sifa zao kidogo " wakora kwa kweli"

Kati yao ninamfahamu John Rugalabamu tu. wengine labda tu-goggle majina yao. John ni mhitimu wa Chuo kikuu, Mining Eng. Aliwahi kugombea DARUSO enzi zake lakini kura hazikutosha. Ni mtu wa kupenda mabadiliko.Katika ajira yake ya kwanza mgodini Geita aliongoza kunji la kudai haki wakamfukuza na kumweka kwenye Black List ya Mining Companies. Lakini nimepata habari kuwa alipigana na kupata appointment Australia na hapa TZ. Ameitika wito wa TZ
 
Mungu wangu tumekwisha,Rugarabamu,Kinasha(mtoto wa zamzam na bilele).My eks-klassmates.Full wazushi.There nothing,another spam in politics.Omutwale nikwo aba abashaija.Talimu kantu especially kinasha,mwongo mzushi.
 
No msabato masalia,

Siyo Kinasha ni Kimasha na nijuavyo mie, Rugalabamu na Kimasha hawakusoma Zamzam wala Bilele bali Kashai P/S. So see how you connect again to make your x-classmate point valid. However, we need details if you know them
 
Sikusema alisoma bilele au zam zam,alikuwa anaishi pale zam zam,jirani na marehemu Goronga.Rugarabamu sawa lakini si kimasha period.Am not interested in politics but at least i hate political spams,kimasha type.Respect omutwale,Omukama kalyenda tulibonangana,kaliba hatenzile tulishanganayo.

:-o:confused:
 
Nimeuliza kuhusu uliyosema hapo juu, yaonekana ni kweli Kimasha aliwahi kuishi Bilele. Kaka endelea basi kukutupa details za uongo na uzushi wa huyu Kijana. Hatutaki wazee wateue viongozi miongoni mwa vijana halafu waje kutuangusha
 
John Rugarabamu hewani sasa. Nimefurahi sana kupata hii chat, sikuwa najua ila ktk pekuapekua zangu nikakumbana nayo. Niko imara siku zote kutafuta haki, na ndio maana wakati nagombea urais chuo kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2006, kichwa kikuu cha ilani yangu kilisema,"NI HAKI YETU KUDAI HAKI ZETU".
 
Karibu sana na hongera pia. Endeleza wito Mzee.
 
No msabato masalia,

Siyo Kinasha ni Kimasha na nijuavyo mie, Rugalabamu na Kimasha hawakusoma Zamzam wala Bilele bali Kashai P/S. So see how you connect again to make your x-classmate point valid. However, we need details if you know them
Nadhani alisoma mafumbo na alikua anaishi hamgembe
 
Back
Top Bottom