Huu ndio urembo au utapia mlo? Duduwasha.
afrodenzi Mzima wewe Mrembo Kwanza Sijakusikia Kwa Muda kiasi japo naona kama Mwaka vile... Nipo katika Kupitia Pitia Roots
Niambie nijipange kabisa, hiyo safari ni kwa mguu, gari, meli au ndege? Ila lazima nifikeUnasafari Ndefu ila Piga Moyo Konde Unaweza Fanikiwa
Yap Yap afrodenzi nimekuwa nikiperuzi kila Kona hadi Nimejiridhisha bado Ziara tu...hahahahahahaha
iase wewe nakuheshimu sana.
Kumbe unaongeza maji kwenye mimea .
Hongera bana, una damu hiyo pia na mi nafurahia kuwa nayo lol
in other hand mi sijambo kabisa my dear , Vipi za tangu siku ile??
Inabidi Tukupeleke Hanang' kwanza Ukale Kozi ya Kutamka ki Semitic LAdha ya Kibantu Uitoe kidogo Usijekimbizwa
aiseeee! :spy:Tatizo hawana ashki sababu ya kukeketwa mbona hilo nalo hawajalisema....