Wajue Mabinti wa ki ethiopia

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,703
3,653
405265_335552686532476_2084457957_n.jpg
 
afrodenzi Mzima wewe Mrembo Kwanza Sijakusikia Kwa Muda kiasi japo naona kama Mwaka vile... Nipo katika Kupitia Pitia Roots

tigrayan-lady.jpg

hahahahahahaha
iase wewe nakuheshimu sana.
Kumbe unaongeza maji kwenye mimea .
Hongera bana, una damu hiyo pia na mi nafurahia kuwa nayo lol :)

in other hand mi sijambo kabisa my dear , Vipi za tangu siku ile??
 
Niambie nijipange kabisa, hiyo safari ni kwa mguu, gari, meli au ndege? Ila lazima nifike

Inabidi Tukupeleke Hanang' kwanza Ukale Kozi ya Kutamka ki Semitic LAdha ya Kibantu Uitoe kidogo Usijekimbizwa
 
hahahahahahaha
iase wewe nakuheshimu sana.
Kumbe unaongeza maji kwenye mimea .
Hongera bana, una damu hiyo pia na mi nafurahia kuwa nayo lol :)

in other hand mi sijambo kabisa my dear , Vipi za tangu siku ile??
Yap Yap afrodenzi nimekuwa nikiperuzi kila Kona hadi Nimejiridhisha bado Ziara tu...

Za Tokea Day Ile mbona nipo poa japo naona kama ni mwaka ulipita tu Yaani miss you sana... kwa msisitizo ''Namaanisha'' Hug 2U
 
Last edited by a moderator:
Inabidi Tukupeleke Hanang' kwanza Ukale Kozi ya Kutamka ki Semitic LAdha ya Kibantu Uitoe kidogo Usijekimbizwa

Kwanza umenikumbusha, haina haja ya kwenda ethiopia wakati sample ziko hapahapa Tz kama huko Hanang' kama ulivyosema then ntaconclude kwa wa ethiopia
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom