Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Kwa nini wana nchi wa majimbo yaliyo nje na miji ndio wamekuwa wepesi kuwachagua wabunge wa upinzani wakati sisi wa darisalama au tulipo tunaojiita wasomi wengi na miji mingine kama arusha mwanza,Mbeya mjini haina wabunge wa upinzani.
Ukiondoa jimbo la Moshi mjini na Bukoba mjini kipindi fulani na temeke enzi za mrema sijui ni ni jimbo gani limewai kuonyesha wakazi wa mujini tunahitaji mabadiliko.
-tuko busy kiasi tunshinwa kupiga kura za kuleta mabadliko?
- Tumekubali ule msemo wa zimwi likujualo
-Tumeridhika na mambo yalivyo ?
- kwa kuwa tunakula tunakunywa we have nothing to loose ?
Pendekezo
Kuliko kuchagua Mbunge mbovu wa CCM bora tuchahge mbunge mbovu wa upinzani litakuwa fundisho.