wajamani huyu mama sasa habanduki mawazoni kwangu............

Siku nyingine usichezeee upendo mpende akupendaye freshjumbe aliimba penzi kikohozi kulificha ulieweza kaza buti umwambie waziwazi ujue moja
 
Kwani ulishafanya replacement??? kama bado basi kuwa muwazi na umweleze maumivu ya moyo wako na kama ulishafanya replacement bado unahitaji kumweleza umizo la moyo wako. LOVE IS FRAGILE PLS HANDLE WITH CARE!
 
Ruta.................

Ni wazi umelemewa kwa penzi lake mmama
Usikubali kulewa, sababu ukampa mama
Mandhali alikunawa, hakukuoenda kiama

angekupenda kikweli, wapambe singesikiza................

Haya mapenzi ya ngama, kutafuta singizio
hakuwayo tangu zama, singekutosa kwa chungio
Mandhali alikuhama, akawagea wenzio

Angekupenda kikweli, wapambe singesikiza
 
kweli mapenzi yanarun dunia..nafurah xana nikiona kidume kiko taabani mapenzin..kwakuwa mmezoea sna kutukimbiza mchakamchaka..
 
...Muwowe ruta!!!....na sidhani kama amekulambisha/amekulisha limbwata inaelekea ni mapenzi yake moto moto :):)

Last edited by a moderator:
Polee but you have to let her go..sio rahisi lakini its the best way so far,your destiny is never atached to anybody who left..
 
Siku nyingine usichezeee upendo mpende akupendaye freshjumbe aliimba penzi kikohozi kulificha ulieweza kaza buti umwambie waziwazi ujue moja

hivi ni mimi aliyechezea penzi au ni yeye?......................mbona petrinamwana nawe waniongezea machungu wajamani?[MENTION]@petrinamwana[/MENTION]
 
Kwani ulishafanya replacement??? kama bado basi kuwa muwazi na umweleze maumivu ya moyo wako na kama ulishafanya replacement bado unahitaji kumweleza umizo la moyo wako. LOVE IS FRAGILE PLS HANDLE WITH CARE!

pakawa I believe she has moved on.......and I have to find a courageous way to move one away from her romantic tortures...........[MENTION]@pakawa[/MENTION]
 
Ruta.................

Ni wazi umelemewa kwa penzi lake mmama
Usikubali kulewa, sababu ukampa mama
Mandhali alikunawa, hakukuoenda kiama

angekupenda kikweli, wapambe singesikiza................

Haya mapenzi ya ngama, kutafuta singizio
hakuwayo tangu zama, singekutosa kwa chungio
Mandhali alikuhama, akawagea wenzio

Angekupenda kikweli, wapambe singesikiza

MwanajamiiOne......................penzi lake nahisi lilikuwa halijiamini labda kwa vile nampenda sana sioni mapungufu yake...........yawezekana hata yeye ni mhanga wa khofu tu............[MENTION]@MwanajamiiOne[/MENTION]
 
Jikaze kiume Ruta,mtolee uvivu mwaga cheche atakuelewa tu na ikishindikana kabisa ni PM mkuu...teh teh!

fisherscom.sasa huu utakuwa ni kujitafutia uzinzi..........................and my sin will sooner than later find me out................[MENTION]@fisherscom[/MENTION]
 
Polee but you have to let her go..sio rahisi lakini its the best way so far,your destiny is never atached to anybody who left..
]
purple nikisema nimepoa nitakuwa mwongo........................siwezi kupoa kirahisirahisi hivyo....................lakini ninaafiki nawe kuwa I have to let her goo slowly, though.......................[MENTION]@purple[/MENTION]
 
kweli mapenzi yanarun dunia..nafurah xana nikiona kidume kiko taabani mapenzin..kwakuwa mmezoea sna kutukimbiza mchakamchaka..

kayla mie sijawhi kukimbiza binti mchakamchaka kwa hiyo unapaswa kunipa pole na kunisikitikia................kwa maumivu niliyoyapata................[MENTION]@kayla[/MENTION]
 
kazi nzuri ya sanaa ya hali ya juu:angel:

vena...you are very smart..................congrats to you for reasons I can't divulge...........[MENTION]@vena[/MENTION]
 
...Muwowe ruta!!!....na sidhani kama amekulambisha/amekulisha limbwata inaelekea ni mapenzi yake moto moto :):)

BAK mapenziii ni pasua kichwa..........................si rahisi kujua njia unayoikanyaga.................[MENTION]@BAK[/MENTION]
 
MziziMkavu
Aisee sikuona nukuu yako ya Solomon
Ili niwe wako; nitungie mashairi yako mwenyewe! LOL

Thanks lkn.
Yaani mimi namshangaa Rutashubanyuma amekazana kutunga tenzi humu; badala angetumia huo muda na nguvu, kumrushia mashairi kila siku. Yaani hata ukiwa na moyo mgumu kama jiwe; daily verses za hivi zinaulainisha tu!
 
kaunga vuta subira..........................bado ninamchukulia mazoezi siku ya siku nikimvaa ataipata na kulainika pao kwa hapo.........[MENTION]@Kaunga[/MENTION]
 
kweli kupenda nikumbaya sana maana mimi nina dada mmoja tulikaa kama wapenzi kwa muda wa miaka 5 lakini nilipokuwa kwenye mawazo yakwenda kujitambulisha kwao kikwazo kikatokea kwa shangazi yake kweli nilifanya kila njia binti akawa anatishiwa watampa radhi kama tukioana kweli mpaka leo hii huwa namkumbuka sana hata yeye wakati mwingine huwa ananipigia simu japo ameolewa na hata mimi nina mke lakini inauma sana
 
Back
Top Bottom