wajamani huyu mama sasa habanduki mawazoni kwangu............

hahaaaaaaa lol hapa nimekuwa mpole ngoja wenye utaalamu zaidi wapite hapa kutoa mawazo yao.

chauro naona mnafurahisa mkiwa na sauti kubwa juu yetu lengo ni kututawala...............na ndiyo maana kuna wakati unaona kidosho unampenda sana lakini ukiona mwelekeo wake ni kukuthibiti unaamua acha aende zake na ubaki na maumivu kheri ulie kulikoni akutawale baada ya kujua kuwa kumbe roho yako yadundia kwake.......... Chauro
  • :disapointed:
............LOL
 
Last edited by a moderator:
hahaaaaaaa lol hapa nimekuwa mpole ngoja wenye utaalamu zaidi wapite hapa kutoa mawazo yao.

Chauro....... kama mnatuhitaji hakikisheni hamtutawali na tutakuwa wenu vinginevyo tutaachiana maumivu makali..... Chauro
 
Last edited by a moderator:
Okay nimekuelewa ngoswe ila nadhani ulikuwa unajaribu jaribu kufanya ushairi maana umerudia mstari wa mwisho wa kila beti kwenye kila aya. Anyway jitahidi hata kina Shaaban Robert walianza hivyo hivyo.

uliwaona au wahisi tu? Nafikiri wakati wao hata kuzaliwa ulikuwa bado au? [MENTION]@Mohammed Shossi[/MENTION]
 
he,yaan mm nakuonea huruma kwan ilikuwajee ukamuacha akaenda kwa mwengine?? basi kuwa mstahamilivu au tafuta mwengine wazur wapo kibao ,usijiumize
 
Muimbishe kwa mashairi toka "Wimbo uliobora" utamnasa tu!
Ila pole best, uzuri unajua kujicouncil mwenyewe!
 
Muimbishe kwa mashairi toka "Wimbo uliobora" utamnasa tu!
Ila pole best, uzuri unajua kujicouncil mwenyewe!
@Kaunga

Wimbo Ulio Bora, Chapter 1

[SUP]

1:8
[/SUP] Usipojua, wewe uliye mzuri katika wanawake, Shika njia uzifuate nyayo za kondoo, Na kuwalisha wana-mbuzi wako Karibu na hema za wachungaji.

[SUP]1:9[/SUP] Mpenzi wangu, nimekulinganisha Na farasi katika magari ya Farao.

[SUP]1:10[/SUP] Mashavu yako ni mazuri kwa mashada, Shingo yako kwa mikufu ya vito.

[SUP]1:11[/SUP] Tutakufanyizia mashada ya dhahabu, Yenye vifungo vya fedha.

[SUP]1:12[/SUP] Muda mfalme alipoketi juu ya matakia, Nardo yangu ilitoa harufu yake.

[SUP]1:13[/SUP] Mpendwa wangu ni kama mfuko wa manemane Ukilazwa usiku maziwani mwangu.

[SUP]1:14[/SUP] Mpendwa wangu ni kama kishada cha hina, Katika mizabibu huko Engedi.

[SUP]1:15[/SUP] Tazama, u mzuri, mpenzi wangu, U mzuri, macho yako ni kama ya hua.

[SUP]1:16[/SUP] Tazama, u mzuri, mpendwa wangu, Wapendeza, na kitanda chetu ni majani;

Mkuu Kaunga itabidi nikuimbie wewe ili uwe wangu.
 
Back
Top Bottom