Waislamu kuiombea Sensa

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,914
6,033
Mufti Mkuu amemuambia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuwa wao kama Waislam wapo tayari kuiombea sensa na kuhesabiwa. Wataiombea Sensa ifanyike vizuri kwa amani na ikamilike ili lengo la serikali liweze kutimia.

Hivyo waislamu wote wapo tayari kuhesabiwa August 23.
512AC240-9161-4CD3-A755-07FB74961D2F.jpeg
 
Mufti Mkuu amemuambia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuwa wao kama Waislam wapo tayari kuiombea sensa na kuhesabiwa. Wataiombea Sensa ifanyike vizuri kwa amani na ikamilike ili lengo la serikali liweze kutimia.

Hivyo waislamu wote wapo tayari kuhesabiwa August 23. View attachment 2329103
Badala ya kuombea ccm ibadilike wanaombea vitu vya ajabu!
 
Back
Top Bottom