Waislam wapanga kukusanyika kesho mnazi mmoja

Hapa Morogoro leo kuna gari lilikuwa likitangaza na kuimiza waislamu wote kesho wakusanyike muislamu ambaye hata kusanyika na wenzake wameahidi kuwa shughulikia.
 
Katika harakati zangu za
hapa na pale leo nimepita maeneo kadhaa yakiwemo ya vijiweni. na katika
story za hapa na pale nkaambiwa kesho tutakuwa mnaz mmoja ili wenzetu
watolewe.
ki2 kingne katika kuhakisha story za vijiwen za kweli alikuja ustadh
mmoja kwenye duka moja la waarabu liko barabara ya kutoka congo kwenda
mnaz mmoja, wakat anaingia alionekana mwenyej eneo lile kias cha kuwa na
utambuz kuwa mi mgen, akanitazama kama anataka kuniuliza k2, nkajiwah
nkamwambia "asalam aleykhum shehe wangu" akajibu vzur akaanza na
kutabasam, akasema nlijua we wa tofaut nkaogopa kutoa ujumbe wangu
bwana. nkamwambia kuwa huru shehe wangu. akasema jaman kesho mnaz mmoja
huku akimsisitiza wa dukan. wote kesho mnaz mmoja ad kieleweke, ilimrad
uwe unajua kuongea kiswahili. akaondoka nkasema kimoyomoyo patanuka
kesho.
NAWASILISHA.

kwa hiyo umetumwa uwahamasishe waJF ! kila la kheri ila kesho jiandaeni kwa kipondo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom