Waislam waandaa rasimu ya Katiba mpya

Hivi mbona watu hawa wanataka sana kujibagua, na kila kitu wanaonekana wanaonewa??. Algeria, egypt, sudan, afghanstan, yemen, tanzania, kwote huko mnaonewa. Acheni kumsingizia mungu eti atawaongoza hata katika katiba. Acheni tufanye kazi, tujjenge taifa la pamoja.
 
wa kushoto, na dua unaomba wakati wa kuingia na wakati wa kutoka ! kwetu kila kitu ni Ibada!

Yeah,we know a lots of it,from those satanic verses you can kill innocents,fornicates and even practice witchcraftes in the name of your god...
 
Hivi mbona watu hawa wanataka sana kujibagua, na kila kitu wanaonekana wanaonewa??. Algeria, egypt, sudan, afghanstan, yemen, tanzania, kwote huko mnaonewa. Acheni kumsingizia mungu eti atawaongoza hata katika katiba. Acheni tufanye kazi, tujjenge taifa la pamoja.

Huko kote wanaelewa nchi zao kuna wakristo na waislamu. Tanzania wakristo wanaona kama Tanzania ni yao na wanatamani ingeliwekewa msalaba kabisa katika bendera na ndio maana madai ya Sheikh Ponda yamelenga mbali kuwa Katiba iwe huru , haki na sawa na sio eti Serikali haina dini huku nyuma ya mlango mnasign MOU na makanisa Patachimbika mkuu maana hii Tanzania yetu sote na waislamu wa sasa hivi si kama wale wa miaka 70 na 60 tutabanana hapo hapo tu mkuu.
 
Yeah,we know a lots of it,from those satanic verses you can kill innocents,fornicates and even practice witchcraftes in the name of your god...

habari za kijiweni hizo, yale mapepo mnayotoana kanisani kila siku tena kwa kuyalipia huwa mnayapata wapi? (Kakobe, Rwakatare, Mzee wa Upako nabii Mwingira, Living Water and many many much)
 
Waulize kuna maneno ya kiyahudi huwa wanayasema wakati wanadai eti kutoa mapepo kuna mtu anajua hata maana yake?
 
Back
Top Bottom