Waislam waandaa rasimu ya Katiba mpya

Ngoja nikusanye wapagani wenzangu tuandae ya kwetu........lazime maeneo yote ya matambiko kama ule mbuyu wa pale Kenyatta Drive yaheshimiwe na yalindwe kwa gharama za serikali

1.Mhh..haya wee! Ila mkiingiza mambo yenu ya mizimu au sijui miungu wenu mjue mnapoteza muda wenu bure.Tanzania ni secular State haina dini hivyo mjishughulishe zaidi na mambo ya ustawi wenu kama wanajamii ya kitanzania kwa ujumla wake na siyo waabudu miti.

2.Ibada na imani ni kitu cha kibinafsi sana - kitu chako wewe na imani yako, wewe na Muumba wako au nguvu ya juu unayoiamii na siyo lazima kutuwekea kwenye Katiba ambayo ni mkataba wa kijamii baina ya raia na wale waliopewa ridhaa kutawala.

3. Naamini kila mtanzania mwenye kutakia nchi mapenzi mema hatataka kamwe kuona mambo binafsi kama imani na ibada vikiwemo kwenye Sheria mama. Hebu tujiulize hiyo Katiba itakuwa na sura gani kama kila imani itaingizwa kwenye katiba - si ni vurugu na kuchanganyikiwa huko?
 
Vipi tena jamani,hawa jamaa wanaandaa rasimu ya katiba ya kiislamu au katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania?Katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania itaandaliwa na watanzania wote bila kujali dini zao!!nafikiri wanakifanya sasa ni kupoteza muda wao tu,kwa si wakristu au waislamu wanaoweza kuandaa rasimu ya katiba ya nchi hii.Na waislamu wasitalajie kuwa mahakama ya kadhi itakuwa kwenye katiba mpya,kwani hii si nchi ya kiislamu,bali ni nchi isiyofungamana na dini yoyote(Secular Government).

" Ni wazi Katiba inaundwa na makundi mbali mbali katika jamii kulingana na matakwa na misimamo ya hiyo jamii na mwisho wa siku jamii nzima hukubaliana mambo ya msingi kwa maslahi ya wote. hivyo kuna makundi kama Wanaharakati wa jinsia na watoto, Wanamazingira, Wasomi, Walemavu, Jumuiya za Kidini na makundi mengineyo.
Sasa kundi la Kidini (Waislaam) wao wameanza kuandaa rasimu ya mapendekezo yao kadri wavyoona sawa na kwa mslahi ya wanaowakilishwa. Ajabu ni kwamba tayari humu ndani watu wanakosa raha, matumbo yamevurugika, jazba, hasira, chuki na kejeli !:angry:
Mbona ndugu zetu mna Nongwa sana ! kwani tumewanyang'anya nini!" khaaa!
 
Hamna mlichotunyang'anya wala mlichotushinda na wala tulipo hamtatufikia kamwe tena nawashangaa sana watu wanaowahofia ninyi...labda kinachowatisha ni hiyo tabia yenu ya kujivika mabomu na kujilipua
 
Katiba ijayo iwe inataja:-
Idadi ya wanawake wa kuoa,
Kodi za Nguruwe zilipe mahakama ya kadhi,
Miaka ya kuolewa vibinti iwe miaka sita na kuendelea,
Kukata mikono ya wezi halali,
Kuoa na kuacha kama kawa.

Kinacho wasumbua ni chuki na roho mbaya,
1. Wewe ni nani alikuhukumia ya kuwa kuoa ni mwanamke mmoja tu? hilo limepangwa kama wanavyo panga sasa Mwanaume kuoa mwanaume na Mwanamke kuoa mwanamke ! ( Ibrahim alioa watatu-3, Sarah, Hajira na Ketura)
2. Kwani hiyo kodi ya Nguruwe hailipii dawa wanazopewa Waislaam katika matibabu? imekukera Kadhi tu !
3. Sheria ya sasa inatamka 14, kama miaka 6 atakuwa amebalehe (anapata hedhi) basi ataolewa!
4. Kukata mikono kutasaidia yale makundi ya wananchi wenye hasira kuhukumu kifo kwa mawe kwa Kibaka aliye iba simu ya Sh 50,000/=
5. Badala ya kutumia utaratibu wa "Kutengana" bora kila mtu akashika hamsini zake, kuliko kuendelea kuzini kwenye ndoa ambayo haina maelewano (Mume anaishi kwake na mke kwake)
 
Hamna mlichotunyang'anya wala mlichotushinda na wala tulipo hamtatufikia kamwe tena nawashangaa sana watu wanaowahofia ninyi...labda kinachowatisha ni hiyo tabia yenu ya kujivika mabomu na kujilipua

Kweli mmetushinda, sisi Dunia kwetu ni mapito tu na ni mahali pa Mitihani, kuwafikia hapo pa miungu mitatu? Ishaallah Mwenyezi Mungu atatulinda kwa hilo, atufufue tukiwa wanyenyekevu na tuliojisalimisha kwake!
 
Yale yale ya yule mtume asiye juwa kusoma. Hivi hawa wafuasi wa allah wanataka nini? Au mpaka viboko vya mwembe chai vianze tena, ndio kitaeleweka kitu?
Mwenyezi Mungu amesema kweli katika Qur'an tukufu"hawatakuwa radhi nanyi hao mayahudi na wakristo mpaka pale watapoona mmekubali kufuata mila zao" na pia "kila ukelele unaopigwa wanadhani kuwa walengwa ni wao".
wasiwasi wenu ni wa nini, haya ni mawazo yetu waislamu nanyi pia mna mawazo yenu.tunasubiri mapdri wataposhauri kuhusu katika ninyi mtasema nini!!!
 
Good attempt, wapo wengi wamelia na katiba mpya lakini ukiwauliza ya namna gani? iliyopo ina mapungufu gani? iweje? posibly mdomo unaweza kuwa mzito. Bora mmeonyesha njia na ninafahamu mambo mengi mazuri mnaonesha, mlianza kuonesha njia kwenye uhuru wa nchi hii hadi ukapatikana, na nakumbuka hata mapendekezo ya rasimu kama hii iliwahi kutoka annuur miaka iliyopita it is a good start
 
Hakika mimi ni miongoni mwa waliojisalimisha, na namuomba ALLAH anifufue hali nikiwa mnyenyekevu !
hivyo usiniogope ndugu yangu, kama kuna mahali nimekutisha, tafadhali nakutaka radhi!

Hakuna shida ndugu yameisha ila lugha zinakuwaga kali sana hata kama unaelewesha. Nimeamua kutokibishana mambo yanayohusu IMANI huwa hakuna suruhu.
 
" Ni wazi Katiba inaundwa na makundi mbali mbali katika jamii kulingana na matakwa na misimamo ya hiyo jamii na mwisho wa siku jamii nzima hukubaliana mambo ya msingi kwa maslahi ya wote. hivyo kuna makundi kama Wanaharakati wa jinsia na watoto, Wanamazingira, Wasomi, Walemavu, Jumuiya za Kidini na makundi mengineyo.
Sasa kundi la Kidini (Waislaam) wao wameanza kuandaa rasimu ya mapendekezo yao kadri wavyoona sawa na kwa mslahi ya wanaowakilishwa. Ajabu ni kwamba tayari humu ndani watu wanakosa raha, matumbo yamevurugika, jazba, hasira, chuki na kejeli !:angry:
Mbona ndugu zetu mna Nongwa sana ! kwani tumewanyang'anya nini!" khaaa!

Itakuwa NEEMA KUBWA SANA kwa nchi hii, kwani hata Saudia bado haijafikia kiwango hicho !

Kweli mmetushinda, sisi Dunia kwetu ni mapito tu na ni mahali pa Mitihani, kuwafikia hapo pa miungu mitatu? Ishaallah Mwenyezi Mungu atatulinda kwa hilo, atufufue tukiwa wanyenyekevu na tuliojisalimisha kwake!

Mwenyezi Mungu amesema kweli katika Qur'an tukufu"hawatakuwa radhi nanyi hao mayahudi na wakristo mpaka pale watapoona mmekubali kufuata mila zao" na pia "kila ukelele unaopigwa wanadhani kuwa walengwa ni wao".
wasiwasi wenu ni wa nini, haya ni mawazo yetu waislamu nanyi pia mna mawazo yenu.tunasubiri mapdri wataposhauri kuhusu katika ninyi mtasema nini!!!

Tuseme Inshaallah !! kama yeye alikufanya wewe kuwa Kafir mwenye kiburi, hata shindwa kukufanya wewe kuwa muungwana ulienyenyekea!
Mtu kama huyu akiandaa rasimu unatarajia ndani kuwe na nini?
 
Back
Top Bottom