Waionaje Kili Stars ya kina Julio/Master?

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
29,047
10,695
Wadau mnaionaje timu teule ya akina Julio na Mkwasa?Itatupatia kombe la Challenge?
 
Inakuwaje Coastal Union inatoa wachezaji 3 wakati wako mkiani mwa ligi ilhali timu kama Oljoro JKT haina hana mmoja?

hahahahahaa, hiyo ni timu ya kocha mmojawapo kati ya walioteuliwa kuiongoza kili statz (Julio), nimeshangaa zaidi kitendo cha kumuita Said Maulid kwenye kambi, huyu mtu si ameshaanza kuzeeka kisoka, sasa wanamwita ili iweje......kwa nini basi wasingeita walau wachezaji kadhaa wa timu ya vijana ili kuwapa uzoefu?........ hao ndio makocha wetu wazawa...ngoja tuone kitakachotokea.
 
Kujuana kwingi,hata Mkwasa kaita wake Ruvu Shooting.Mwaikimba?Teja Boban?
 
Inakuwaje Coastal Union inatoa wachezaji 3 wakati wako mkiani mwa ligi ilhali timu kama Oljoro JKT haina hana mmoja?
Naheshimu uteuzi wao lakini kwa dhati kabisa naomba msaada wenu wa ufafanuzi sababu za kuachwa beki nguli Tanzania mtaalamu VICTOR COSTA!! Pamoja na kuwa majeruhi mara nyingi lakini ana vitu vya ziada sana,binafsi SIELEWI wakuu!
 
Naona hajawa fit kimchezo.
 
Kwa jinsi navyo mfahamu Julio na Mkwasa...huwa wanapenda watu wampira wakukaa nao..yaani viungo wengi..pia wao kama makocha huwa wanafundisha mpira jihadi..

kuhusu hao kutoka coastal na moro na ruvu..sio ttz...wameitwa wachezaji 28,na mashindano wanatakiwa 20,ni kugombea nafasi
na said maulid kaambiwa njoo ugombee namba kama unaweza....

ila vijana pia wako..na ndio hao wametoka coastal.moro na ruvu
pia tukumbuke kuna mashindano mengine ya COSAFA. U-18..timu ya NgoroNgoro Heros wanashiriki ni wiik ijayo tu

Nawasilisha
 
Poa mkuu.
 
Wamenifurahisha kwa kumleta Boban na kuachana na kasumba za makocha wazungu...na amini chini ya Julio timu itakuwa na hamasa maana hii kazi ya kuamasisha anaiweza sana....
 
Ngoja tuone kama puli litafanya kazi.
 
Timu mbovu,imechaguliwa na Julio kwa kupendelea baadhi ya wachezaji wasio na sifa,akiwemo teja.
 
Sinta tia mguu uwanjani kuiangalia Kili stars labda ikifika robo fainali, Maana inaboa juzi tumebebwa sana, refa anapuliza filimbi wakati jamaa wanaelekea kutu adhibu???? Tutasonga mbele lakini ni kulinda mapato ya mlangoni.... kwa mtindo huu soka la bongo halifiki mbali
 
Totally agreed mate.
 
taifa stars ni kanga moko nyeee ndembendembe
 
mimi alipotangazwa tuu julio ........nilianza kuikataaaa!!! the same timu ingekuwa chini ya kocha mwengine ningeikubali sana!!!
 
anasumbuliwa na usimba/uyanga. safari hii naona kaita wavuta ganja wenzake. mia
 
Back
Top Bottom