Wahisani kukagua mabilioni

Sungurampole

JF-Expert Member
Nov 17, 2007
984
205


Ni habari njema kusikia kuwa nchi wahisani zinazosadia Bajeti kuu ya serikali zimesema zitapitia misaada ya fedha wanazotoa ili kujua kama serikali imefikia malengo yaliyokusudia. Mwenyekiti wa nchi wahisani na mkuu wa mabalozi wa EU balozi Tim Clarke aliyasema haya wakiwa katika ziara ya kutembelea bandari ya Dar (Mwananchi 26.10.11)

Nasema ni habari njema kwani sitashangaa tukasikia majibu ya baadhi ya maswali ambayo wananchi wamekuwa wakiuliza bila kupewa majibu.
 
Back
Top Bottom