Wahindi na Waarabu wanawachukia Wachagga sana, kwa nini?

Status
Not open for further replies.

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,807
18,534
Kule Moshi wahindi na waarabu kama akina Panjuani waliokuwa wakitamba kwa maduka makubwa ya electric appliances sasa utawaonea huruma! Wamesimama ndani ya maduka yao wakitazamana wao kwa wao, hawana ujanja hakuna mtu ananunua kwao.

Ukienda Arusha mambo yanakuwa hivyo hivyo, utasikia wakisema "biashara hapana mzuri hapa hii Chagga nahararibu bishara hapa". Angalia akina Manji walivyogombana na Mengi, hawataki kumwona mtanzania akifanya biashara kubwa na watu wa aina hii ni tishio kwao.

Na hili wameliingiza kwenye siasa kwa kuwachochea watu wafikiri CDM ni ya wachagga na wangependa kama nchii wachagga wanafutika wote ili waweze kunyonga vizuri zaidi.

Tuwe macho na hawa wanyonyaji na tuache kuwashabikia kipumbavu!
 
Huwa unawaza chuki tu enh! Kama huna cha kupost ni vyema ukaficha ujinga wako.
 
Kule Moshi wahindi na waarabu kama akina Panjuani waliokuwa wakitamba kwa maduka makubwa ya electric appliances sasa utawaonea huruma! Wamesimama ndani ya maduka yao wakitazamana wao kwa wao, hawana ujanja hakuna mtu ananunua kwao.

Ukienda Arusha mambo yanakuwa hivyo hivyo, utasikia wakisema "biashara hapana mzuri hapa hii Chagga nahararibu bishara hapa". Angalia akina Manji walivyogombana na Mengi, hawataki kumwona mtanzania akifanya biashara kubwa na watu wa aina hii ni tishio kwao.

Na hili wameliingiza kwenye siasa kwa kuwachochea watu wafikiri CDM ni ya wachagga na wangependa kama nchii wachagga wanafutika wote ili waweze kunyonga vizuri zaidi.

Tuwe macho na hawa wanyonyaji na tuache kuwashabikia kipumbavu!
Umesahau na some somalians,yani ni kweli unachosema.
 
Hawawezi kujiunga na upinzani kwa sababu wapinzani hawana mahusiano na ALKAIDA, lazima wajifiche kwenye chama cha majambazi, mafisadi na wezi wenzao.
 
Kule Moshi wahindi na waarabu kama akina Panjuani waliokuwa wakitamba kwa maduka makubwa ya electric appliances sasa utawaonea huruma! Wamesimama ndani ya maduka yao wakitazamana wao kwa wao, hawana ujanja hakuna mtu ananunua kwao.

Ukienda Arusha mambo yanakuwa hivyo hivyo, utasikia wakisema "biashara hapana mzuri hapa hii Chagga nahararibu bishara hapa". Angalia akina Manji walivyogombana na Mengi, hawataki kumwona mtanzania akifanya biashara kubwa na watu wa aina hii ni tishio kwao.

Na hili wameliingiza kwenye siasa kwa kuwachochea watu wafikiri CDM ni ya wachagga na wangependa kama nchii wachagga wanafutika wote ili waweze kunyonga vizuri zaidi.

Tuwe macho na hawa wanyonyaji na tuache kuwashabikia kipumbavu!
toa mfano wa waarabu wa maskati ya shinyanga na wa iselemagazi, jinsi wanavyohujumu biashara za wasukuma vijijini. Wengine hutenda jinai na kuishia kulindwa na cc majambazi.
 
Unajua Wachagga wanajidanganya sana eti wamewakimbiza wahindi na waarabu! Wahindi na Waarabu wamekusanya pesa siku nyingi saizi wame Fetch kwenye Industrial and International deal, hotel, Company, endeleeni kujidanganya
 
Kule Moshi wahindi na waarabu kama akina Panjuani waliokuwa wakitamba kwa maduka makubwa ya electric appliances sasa utawaonea huruma! Wamesimama ndani ya maduka yao wakitazamana wao kwa wao, hawana ujanja hakuna mtu ananunua kwao.Ukienda Arusha mambo yanakuwa hivyo hivyo, utasikia wakisema "biashara hapana mzuri hapa hii Chagga nahararibu bishara hapa". Angalia akina Manji walivyogombana na Mengi, hawataki kumwona mtanzania akifanya biashara kubwa na watu wa aina hii ni tishio kwao. Na hili wameliingiza kwenye siasa kwa kuwachochea watu wafikiri CDM ni ya wachagga na wangependa kama nchii wachagga wanafutika wote ili waweze kunyonga vizuri zaidi. Tuwe macho na hawa wanyonyaji na tuache kuwashabikia kipumbavu!
Nimecheka unamfananisha Mengi na Manji! Manji the Don
 
kwanini mnaingiza udini haifai najua hapo kuna chadema na ccm , kati yenu... acheni mi ni chadema lakini udini haufai....asante mungu. kwa amani iliyopo
Umeonae! Wengi wao ni Wakiristo so lazima wawe kwenye chama cha cha Kikiristo CDM
 
Kule Moshi wahindi na waarabu kama akina Panjuani waliokuwa wakitamba kwa maduka makubwa ya electric appliances sasa utawaonea huruma! Wamesimama ndani ya maduka yao wakitazamana wao kwa wao, hawana ujanja hakuna mtu ananunua kwao.

Ukienda Arusha mambo yanakuwa hivyo hivyo, utasikia wakisema "biashara hapana mzuri hapa hii Chagga nahararibu bishara hapa". Angalia akina Manji walivyogombana na Mengi, hawataki kumwona mtanzania akifanya biashara kubwa na watu wa aina hii ni tishio kwao.

Na hili wameliingiza kwenye siasa kwa kuwachochea watu wafikiri CDM ni ya wachagga na wangependa kama nchii wachagga wanafutika wote ili waweze kunyonga vizuri zaidi.

Tuwe macho na hawa wanyonyaji na tuache kuwashabikia kipumbavu!

That's not true!
I have a lot of Chagga friends and business partners as well
 
Sabodo ni mtanzania mwenye asili ya India. amekichangia sana CDM katika kampeni zake mwaka jana.(nadhani kwa zaidi ya mil.500/-).Nadhani Mh. Saboddo anaamini katika kauli ya Mwl. Nyerere kwamba kati ya vyama vya upinzani, mwalimu alisema Chadema ndicho chama makini.

Leo anachimba visima vya maji 700 nchini kote.

Nadhani, kushindwa kwa biashara kwa wahindi sio Kilimanjaro na Arusha tu, hata Mbeya, Iringa na Ruvuma mambo yako hivyo. Kuna sababu nyingi za wahindi kuonekana wamekwama kibiashara. ila wamewekeza sana katika biashara kubwa kubwa kwa sasa.Na sababu nyingine nyingi.
 
Kule Moshi wahindi na waarabu kama akina Panjuani waliokuwa wakitamba kwa maduka makubwa ya electric appliances sasa utawaonea huruma! Wamesimama ndani ya maduka yao wakitazamana wao kwa wao, hawana ujanja hakuna mtu ananunua kwao.

Ukienda Arusha mambo yanakuwa hivyo hivyo, utasikia wakisema "biashara hapana mzuri hapa hii Chagga nahararibu bishara hapa". Angalia akina Manji walivyogombana na Mengi, hawataki kumwona mtanzania akifanya biashara kubwa na watu wa aina hii ni tishio kwao.

Na hili wameliingiza kwenye siasa kwa kuwachochea watu wafikiri CDM ni ya wachagga na wangependa kama nchii wachagga wanafutika wote ili waweze kunyonga vizuri zaidi.

Tuwe macho na hawa wanyonyaji na tuache kuwashabikia kipumbavu!

Ubaguzi + Chuki tu. Wewe huna lolote. Ni watu kama wewe ndio wanairudisha nyuma nchi hii. Wewe jiulize kwa nini Wachaga wanafanikiwa kibiashara na ujaribu kujifunza kitu ndani yake ili ufaudike badala ya kueneza ujinga wa chuki kuhusu wahindi na waarabu.
 
Sabodo ni mtanzania mwenye asili ya India. amekichangia sana CDM katika kampeni zake mwaka jana.(nadhani kwa zaidi ya mil.500/-).Nadhani Mh. Saboddo anaamini katika kauli ya Mwl. Nyerere kwamba kati ya vyama vya upinzani, mwalimu alisema Chadema ndicho chama makini.

Leo anachimba visima vya maji 700 nchini kote.

Nadhani, kushindwa kwa biashara kwa wahindi sio Kilimanjaro na Arusha tu, hata Mbeya, Iringa na Ruvuma mambo yako hivyo. Kuna sababu nyingi za wahindi kuonekana wamekwama kibiashara. ila wamewekeza sana katika biashara kubwa kubwa kwa sasa.Na sababu nyingine nyingi.

nafikiri anarudisha fedha alizoibia baba zetu,waindi wote wezi
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom